Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

walifanya makusudi, uwanja wa nyasi badia za kiwango cha chini kabisa, wamejaza yale ma rubber uwanjani na kufanya mpira unakosa uelekeo. Mimi ningekuwa FIFA ningepiga marufuku matumizi ya hizi uwanja zenye nyasi bandia. Kwanza kitaalamu zinaua nyonga na viungo nya wachezaji kwa sababu chini kuna zege achilia mbali, matatizo mengine kama tuliyoyaona leo

kama hujui mambo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kaa kimya
 
Mkude ana mipango gani sasa yaani hii sababu ya mkude nani kawa mezesha sababu zingine ni za ovyo kabisa. Kushindwa kwa timu ni wachezaji wenyewe wala si kocha. Kwa kikosi cha tz hakuna mtu ambaye kukosekana kwake ni sababu ya timu kufungwa labda kidgo samata.
Hujui mpora kaka; acha wanaojua waongee!!
 
Natayari mmegongwa
Hili taifa lina upinzan wa kipuuz huenda hakuna dunia nzima.Mtu anakuambia Mungu ibariki Lesotho, sababu za mcng utasikia oooh taifa stars ikishinda jiwe atapata sifa mara CCM watasema ni mafanikio yao.
 
Ushindi wa timu hutegemea uwezo na ushirikiano wa wachezaji wa kiungo; kiungo kilipwaya kabisa toka mwanzo tena ilikuwa watupige 4 ; mawili akafuta kipa na jingine la wazi Yondani.

Viungo wakikosa ubora kwisha!! Na waganda hawatubakizi; jamaa wameapa kupiga full mziki.

Kiungo mkabaji wa tanzania kwa sasa ni Mkude; sasa kama hutaki kataa wewe.

Kwenye timu kuna kitu kinaitwa uzoefu; unamwacha Boko; Mkude; Kichuya unategemea nini?
 
Back
Top Bottom