Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Mpaka siku akili zetu zitakapo acha kuwaza usimba uyanga katika medaninza sokola la bongo, ndio tutatoboa.

Naona wachezaji wanajituma lakini sijui hatuna bahati.
Kwhy usimba na uyanga umechangiaje taifa stars kufungwa Leo?
 
Nisaidieni kuwa tag maofisa wa TFF jambo la Leo Huko LESOTHO limeniumiza sana, nashibdwa kuzuia husia jamani Kumbeni mashabiki wanaumiaga kiasi hiki, mm Yanga family lkn Huwezi kuwaacha, mkude, bocco, Nairobi Akina kichuya nje
 
Team selections mbovu...lawana zote benchi la ufundi. ..ata sijui anatumia vigezo gani huyo Mwalimu - na waganda wa mpira huo lazima watufumue marinda.

Kiungo kilikufa kabisa!! Mkunde mzee wa mpango eti yupo nje.
Mkude ana mipango gani sasa yaani hii sababu ya mkude nani kawa mezesha sababu zingine ni za ovyo kabisa. Kushindwa kwa timu ni wachezaji wenyewe wala si kocha. Kwa kikosi cha tz hakuna mtu ambaye kukosekana kwake ni sababu ya timu kufungwa labda kidgo samata.
 
Nimejitahidi kusoma comments za kabla na baada ya mechi...wengi waliokuwa wanasisitiza kwamba stars watashinda wameotea baadhi wamerudi na lawama kwa kocha..Waliokuwa wanasema stars hawatashinda ndio walioleta mrejesho kwa wingi wao...Tusiwe vigeu geu...Ukisema for better for worse basi tulia kwenye msimamo wako.
 
Tanzania tuachane kabisa na suala la mpira kwa miaka kama 100 hivi, tunasikitisha mno kimataifa. Lesotho si nchi ya kutufunga kwani mpira wao ni mbovu mno ila wametufunga na kutuhaibisha. Kwa kweli Stars wasirudi hapa Bongo tutawauwa na kuwateka. Tuwe kama Colombia, timu ikifungwa tu, tunauwa wachezaji na makocha wote ndipo watajifunza kucheza kwa kujituma na kutumia akili uwanjani.
 
Na mbaya zaidi magroup yapo 12 team za kufuzu ni mbili kila group kwahyo zitakuwa 24 kwahyo hamna best loser hapa tujipange tena fainal zinazokuja
 
Kwa hili napo leo tuko pamoja. waTz blah blah nyingi , kwa kifupi uwezo wetu mdogo sana ns hatubadiliki

Lesotho walitushinda kufunga hapa nyumbani . Tungewezaje kuwafunga huko Maseru ?!
Kwa timu yetu hii ni bora tusiende Afcon.
Tutamfunga nani huko ?
Zaidi tutatia aibu ya kubugizwa magoli mengi sana.
 
Mchezaji ni sawa na mwanajeshi anatakiwa kupambana kiuweledi katika mazingira yoyote, huku akizishinda changamoto zote zitakazojitokeza. Shida ya wachezaji wetu hawana spirit ya Uzalendo.
 

Hiyo tabia mtaani kwetu haipo. Hiyo tabia ya kufahamiana kisiasa ipo zaidi Zanzibar. Hao wa hapo ufipa kilichowafurahisha ni kitendo cha kujua wazee wa kick kukosa pa kuchukulia ujiko. Maana iwapo hiyo timu ingeshinda ingegeuzwa sehemu ya kujifichia waharibu uchumi wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…