GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Kwhy usimba na uyanga umechangiaje taifa stars kufungwa Leo?Mpaka siku akili zetu zitakapo acha kuwaza usimba uyanga katika medaninza sokola la bongo, ndio tutatoboa.
Naona wachezaji wanajituma lakini sijui hatuna bahati.