Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho


kama hujui mambo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kaa kimya
 
Hujui mpora kaka; acha wanaojua waongee!!
 
Natayari mmegongwa
Hili taifa lina upinzan wa kipuuz huenda hakuna dunia nzima.Mtu anakuambia Mungu ibariki Lesotho, sababu za mcng utasikia oooh taifa stars ikishinda jiwe atapata sifa mara CCM watasema ni mafanikio yao.
 
Ushindi wa timu hutegemea uwezo na ushirikiano wa wachezaji wa kiungo; kiungo kilipwaya kabisa toka mwanzo tena ilikuwa watupige 4 ; mawili akafuta kipa na jingine la wazi Yondani.

Viungo wakikosa ubora kwisha!! Na waganda hawatubakizi; jamaa wameapa kupiga full mziki.

Kiungo mkabaji wa tanzania kwa sasa ni Mkude; sasa kama hutaki kataa wewe.

Kwenye timu kuna kitu kinaitwa uzoefu; unamwacha Boko; Mkude; Kichuya unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…