Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Hebu leo tuwape moyo hao wanaotuwakilisha. Haya tunayajadili kila siku. Kila jambo lina majira yake.
 
Yessss [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji91]
 
Hebu leo tuwape moyo hao wanaotuwakilisha. Haya tunayajadili kila siku. Kila jambo lina majira yake.

Kwa kawaida mimi sina tabia ya kushabikia pamoja na wanafiki na watu wenye roho mbaya. Kitendo cha watu wenye roho chafu kukaa mbele mbele kwenye hiyo timu kimenifanya nisiiponde wala kuishabikia. Hivyo matokeo yoyote leo, ishinde au ishindwe kwangu ni matokeo sawa.
 
Pole sana. Hujui usemalo
 
Leo naweka mkeka wa elfu 10 namuua stars ili akipigwa niwe nimepata hela ya kupozea machungu ya kuloose.
Nikoshinda napoteza hela lakini nakuwa nafuraha ya stars kushinda.

Kwahio leo ni ushindi tu hata kama stars ikipigwa
 
Nimekuambia rejea toka anaapishwa pale taifa na siku yake ya kwanza kufanya kazi. Huko hutak kurejea unakuja na story za katikati. Nguvu mnayotumia kumpinga ni kubwa mno yaani sana kiasi kuona naye anashindana nanyi.Toka anaapishwa kulikua na kampeni ya watu wasiende kwenye taifa, kaapishwa tu na kaanza kazi tayar kejeli na dhihaka zikaanza. Waliokuwa wanasema nguvu ya soda, remote msoga tv magogoni ni akina nani?Kafuta sherehe za Uhuru zikajenge barabarani bado mkaja juu na siasa uchwara oooh bunge alijahidhinisha nk. Kuelewa Chuki zimeanzia wapi na nani kaanza kuhubiri chuki anza 2015 na hapo ndio uataelewa. Kikubwa baada ya uchaguz mkuu 2015 upinzan uligoma kurudisha majeshi nyuma na hii ni kutokana na lile joto la uchaguz kuwa kubwa sana kuamini wao watashinda uchaguz. Asilimia kubwa wanaompinga ni walewale wa upinzan na wachache sana waliokutana na sekeseke la vyeti au wale mirija yao imezibwa direct or indirect.
 
Hamtoboi nasema,mtaona.Ni kipigo.

Wia ini ze raiti traki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…