Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Hiyo ndoto ya uongo,kama jina la timu tunaocheza nao huijui sasa ndoto yako itakuwaje ya ukweli? Resotho ndo nchi katika bara gani?
 
Mimi mwenyewe nimeota ndoto mbaya mno usiku, mwanangu kakamatwa na polisi naenda kumtoa polisi nakuta wamempiga sina, wananipa pesa na Mimi nimepokea. Nikapanda gari nikapotea, yaan kwa ujumla nilipata taabu sana. Hakika Leo hatutoki.
 
Rais kushindana na wananchi wake iwe kisiasa au kiuchumi ni dalili za kutokujiamini, Kupingwa si hoja, mtu makini angewekeza kwenye ushawishi na kupiga kazi ili wamuelewe na kubuy in na si kushindana na wananchi wako
 
Mwenyewe atakalishwa hapo hapo Maseru, viva Taifa stars, leo tunashinda.
 
wanasema ana nia njema na nchi yetu. Sasa unajiuliza mtu mwenye nia njema na nchi yetu anaanzaje kuona ndege au STR kuwa na umuhimu zaidi ya sheria mama ya nchi?
 
Wachawi kama nyinyi Mungu huwaumbuaga kabla hata hakujacha.
 
Cha ajabu Taifa Stars wakishinda hao doubting Thomas watarudi na kujidai kushangilia.
Kuwa mzalendo shangilia Taifa Stars wakishinda,wakidroo na wakifungwa ni sehemu ya mchezo.
Mataifa mengine timu ya taifa inashangiliwa bila masharti.
Kila la kheri Taifa Stars.
 
Kila la heri Taifa stars. Kwako hemedi kivuyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…