Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Gemu inaanza saa ngapiMkuu umuhimu ni ushindi. Akili zetu zote ziwe huko. Hayo mengine tutajadili baada ya mechi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gemu inaanza saa ngapiMkuu umuhimu ni ushindi. Akili zetu zote ziwe huko. Hayo mengine tutajadili baada ya mechi.
Kumi na moja kamili za bongoGemu inaanza saa ngapi
Mimi mwenyewe nimeota ndoto mbaya mno usiku, mwanangu kakamatwa na polisi naenda kumtoa polisi nakuta wamempiga sina, wananipa pesa na Mimi nimepokea. Nikapanda gari nikapotea, yaan kwa ujumla nilipata taabu sana. Hakika Leo hatutoki.Sina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.
Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Resotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....
Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.
Bara la Asia mkuuHiyo ndoto ya uongo,kama jina la timu tunaocheza nao huijui sasa ndoto yako itakuwaje ya ukweli? Resotho ndo nchi katika bara gani?
Rais kushindana na wananchi wake iwe kisiasa au kiuchumi ni dalili za kutokujiamini, Kupingwa si hoja, mtu makini angewekeza kwenye ushawishi na kupiga kazi ili wamuelewe na kubuy in na si kushindana na wananchi wakoNimekuambia rejea toka anaapishwa pale taifa na siku yake ya kwanza kufanya kazi. Huko hutak kurejea unakuja na story za katikati. Nguvu mnayotumia kumpinga ni kubwa mno yaani sana kiasi kuona naye anashindana nanyi.Toka anaapishwa kulikua na kampeni ya watu wasiende kwenye taifa, kaapishwa tu na kaanza kazi tayar kejeli na dhihaka zikaanza. Waliokuwa wanasema nguvu ya soda, remote msoga tv magogoni ni akina nani?Kafuta sherehe za Uhuru zikajenge barabarani bado mkaja juu na siasa uchwara oooh bunge alijahidhinisha nk. Kuelewa Chuki zimeanzia wapi na nani kaanza kuhubiri chuki anza 2015 na hapo ndio uataelewa. Kikubwa baada ya uchaguz mkuu 2015 upinzan uligoma kurudisha majeshi nyuma na hii ni kutokana na lile joto la uchaguz kuwa kubwa sana kuamini wao watashinda uchaguz. Asilimia kubwa wanaompinga ni walewale wa upinzan na wachache sana waliokutana na sekeseke la vyeti au wale mirija yao imezibwa direct or indirect.
HahahahahahahaKwa Taarifa yako hatuchezi na "Resotho"...rudi ndotoni uendelee kuota ujinga.
wanasema ana nia njema na nchi yetu. Sasa unajiuliza mtu mwenye nia njema na nchi yetu anaanzaje kuona ndege au STR kuwa na umuhimu zaidi ya sheria mama ya nchi?Hiyo ndio demokrasia ulitakaje labda? Ulitaka asujudiwe na kila mtu? Hizo unazoniambia sherehe za kuapishwa, kwani enzi za JK hao wapinzani walikuwa wanashiriki hayo mambo ya kitaifa mpaka uone hiyo tabia ilianza wakati wa jpm? Ni dhahiri uwanja wa uchaguzi hauko sawa hata kabla ya huyo Magu hiyo 2015, kama hicho ndio kilio cha muda wote yeye kafanya nini kuondoa hali hiyo ili kuondoa huo mgawanyiko unaoletwa na mwenendo huo zaidi ya yeye kufanya vibaya kuliko mtangulizi wake? Wapinzani warudishe majeshi kwa kujinyenyekeza huku wakifanyiwa ubazazi?
Wachawi kama nyinyi Mungu huwaumbuaga kabla hata hakujacha.Sina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.
Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Resotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....
Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.
Saa kumi na moja jioni hiiGemu inaanza saa ngapi