Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Taratibuuuuu [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Yani kocha kaacha wachezaji wa maana benchi kaingiza utumbo.
Abdallah kheri wa nini ? Yani kocha Fwalaaa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibuuuuu [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Yani kocha kaacha wachezaji wa maana benchi kaingiza utumbo.
Abdallah kheri wa nini ? Yani kocha Fwalaaa sana
Mkoso wa mwaka..
Wakitokaa hapo akili zitawakaa sawaaHapana mkuu,mimi nawapenda sana inabidi wapokelewe kishujaa na mizinga 21
Taratibuuuuu [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Ni kweli anko,,ulichosema ni sahh kabsa,chek kama hv mkulu katweetAnkoo usichekeeee
Haswaaa! na itakuwa mfano kwa vizazi na miziziWakitokaa hapo akili zitawakaa sawaa
Ahsante sanaAbdullah kheri Sebo ni Mchezaji wa Azam nafasi ya Beki na Ally Mtoni Sonso ni Mchezaji wa Lipuli FC nae ni Beki
Mkuu alisema asiingiliwe kabsaHuyu kocha ana lake timu gani kapanga hii