Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Nitarudi ngoja mpira uishe. Ila sioni dalili ya kurudi na pointi 3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoMnyama Chota Chama anapiga rula?
Hakuna timu yakwenda Cameron hapa..hata ikitokeo ikaenda huko ni aibu kubwa italikumba taifa
Hizo siasa uchwara huko kwenu zinawafaa hamujui mupira wa tzHiyo ndiyo taifa starz
Bora tushabikie siasa
Naunga mkono hojaHakuna timu yakwenda Cameron hapa..hata ikitokeo ikaenda huko ni aibu kubwa italikumba taifa
Ndio ndioUkimaanishaa safari bora iishiee hapa ?
Bola mkubali hahahahaNaunga mkono hoja
Wataalam wa mambo hao sasa..Hakuna timu yakwenda Cameron hapa..hata ikitokeo ikaenda huko ni aibu kubwa italikumba taifa
Tatizo kikosiNitarudi ngoja mpira uishe. Ila sioni dalili ya kurudi na pointi 3.
Tatizo munafundisha vijana mpira ukubwan washabaleheeWakitoka huko waende Mtwara wakasaidie kazi za korosho
Mpira sio ngono inayochezwa gizani,wewe unatazama huoni?Wataalam wa mambo hao sasa..