Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mshikaji wote alowatembelea hospitali walikufa, ivyo taifa stars kwenda pale ulikuwa msiba na leo ndo mazishi yamefanyikaWameshagongwa na mpira umeisha..
Ile 50M walizopewa na jiwe zimewatia nuksi
Huu ushauri mmmmmhUshauri wangu kwa TFF.
1. Vunjeni mkataba na benchi la ufundi ili muokee hela mnazowalipa mishahara
2. Vunjeni hio timu ili wachezaji warudi kwenye kalabu zao wacheze kwa amani bila ya kuharibu na kupangua pangua ratiba ya ligi
3. Katika mechi dhidi ya Uganda wapeni nafasi wale watoto wa u17 ili wapate mazoezi mazuri ya kujiandaa na mashindayo yao ya mwakani kwa kuwa wao ni wenyeji
4. Mechi na Uganda hakuna sababu ya kuwatumia tiketi za ndege wachezaji wanaocheza nje hizo hela tumieni kuwaandaa hawa vijana wa u17
5. Tupunguze kuongea sana tujikite kwenye vitendo.
Ila mkuu we nomaTimu ya Taifa la Tanzania maarufu kama Taifa Stars leo inashuka dimbani dhidi ya Lesotho katika mchezo wa leo kuwania kufuzu fainali mataifa ya Afrika AFCON 2019.
Taifa stars wataanza mechi ya leo kwa kumkosa mshambuliaji wake hatari Mbwana Samatta kutokana na Kadi ya Njano aliyoonyeshwa mchezo uliopita.
Kikosi cha Taifa Stars kinachotatajiwa kuanza katika mechi ya leo.
View attachment 938555
Tanzania kila kitu ni maumivu hakuna pa kukupa faraja .yaani huku nchale ukigeuka nchale ..Ningekua raisi hawa wachezaji wanarudi kwa roli wakifika Ntwara wanaenda kubangua Coroshow walau kwa siku tatu baada ya hapo wanarudi kwa kichurachura mpk Kibiti hapo ndio watakutana na ndugu zao. Pumbavu sipendi ujinga na ndio maana sijawa raisi.
Ila inauma bhana. [emoji24][emoji24][emoji24]
Nenda pale magogoni utampata.Sijui nipate wapi mtu wa kumpiga ngumi kupunguza hasira...