Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

ingependeza aje abangue korosho kwanza ndio aende zake anaharibu timu yetu tu
 
Acha kufariji wale jamaa!
Hamna kitu kabisa pale, hovyoooo!
NawaoNea hUruma watanzania waliopoteza hela zao kwEnda Lethoto kuangalia ujinga ule!
 
Ningekua raisi hawa wachezaji wanarudi kwa roli wakifika Ntwara wanaenda kubangua Coroshow walau kwa siku tatu baada ya hapo wanarudi kwa kichurachura mpk Kibiti hapo ndio watakutana na ndugu zao. Pumbavu sipendi ujinga na ndio maana sijawa raisi.

Ila inauma bhana. [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ukiona kuna mtanzania anaishabikia starz basi ni wala pro simba na yanga ambao wengi wao mpira wa bongo wameanza kuufatilia miaka ya karibuni.

Starz kwa miaka ya 2000 ilikuwa ya ushindani ni ile Marcio Maximo, ilomchapaga Burkina Faso kwao, ni ile ambayo ileleta ushindani hata kwa Cameroon, ikaja ya Poulsen kidoogo kwa mbali mno ikajitahidi.

Kitendo cha sisi kusikiliza wachezjai badala ya wataalamu kama akina Maximo n.k ndiko kuliiangusha ile timu. Kama mnakumbuka kulikuwa na akina Kaseja, Haruna Moshi Boban, Amir Maftaha, Athuman Idd Chuji, hawa ndo walimfanya Maximo aondoke.

Maximo aliaandaa vijana wazuri mno ktk timu ya taifa wakiongozwa na Mrisho Ngassa, Rajabu, Mwasika, Kigi Makasi, Nurdin Bakar n.k
 
Wameshagongwa na mpira umeisha..
Ile 50M walizopewa na jiwe zimewatia nuksi
Yule mshikaji wote alowatembelea hospitali walikufa, ivyo taifa stars kwenda pale ulikuwa msiba na leo ndo mazishi yamefanyika
 
Ushauri wangu kwa TFF.
1. Vunjeni mkataba na benchi la ufundi ili muokee hela mnazowalipa mishahara
2. Vunjeni hio timu ili wachezaji warudi kwenye kalabu zao wacheze kwa amani bila ya kuharibu na kupangua pangua ratiba ya ligi
3. Katika mechi dhidi ya Uganda wapeni nafasi wale watoto wa u17 ili wapate mazoezi mazuri ya kujiandaa na mashindayo yao ya mwakani kwa kuwa wao ni wenyeji
4. Mechi na Uganda hakuna sababu ya kuwatumia tiketi za ndege wachezaji wanaocheza nje hizo hela tumieni kuwaandaa hawa vijana wa u17
5. Tupunguze kuongea sana tujikite kwenye vitendo.
Huu ushauri mmmmmh
 
Mvua imeharibu mechi ya watani wa Jadi Congo vs drcongo maskini bonge la game
 
Tatizo mnawekeze ktk michezo msiyoiweza nyie mngeendelea kule kule kwa Big brother mbona mlikuwa mnaenda sawa .nyie kwa kuoga uchi mkiwa mnaaangaliwa hamjambo tunamwomba waziri muhusika aangalie hili na mazoezi tufanye pale taifa chini ya cocha mwalimu kashasha
 
Nimekaa nikafikiria kutokana na kipigo Cha taifa star Leo,kwa Nini Kama taifa tusitafute dawa kwanza ya kujitibu huu uwendawazimu( laana aliyotutupia) sijui mzee nani vile.

Kila mechi tunazotakiwa kushinda tunafungwa hii ni aibu aibu,. japo Mimi sio mtaalamu wa Mpira Ila naona hii laana ndo inatuandama.
 
Timu ya Taifa la Tanzania maarufu kama Taifa Stars leo inashuka dimbani dhidi ya Lesotho katika mchezo wa leo kuwania kufuzu fainali mataifa ya Afrika AFCON 2019.

Taifa stars wataanza mechi ya leo kwa kumkosa mshambuliaji wake hatari Mbwana Samatta kutokana na Kadi ya Njano aliyoonyeshwa mchezo uliopita.

Kikosi cha Taifa Stars kinachotatajiwa kuanza katika mechi ya leo.

View attachment 938555
Ila mkuu we noma

Tukupe timu mzee baba
 
Nimekaa nikafikiria kutokana na kipigo Cha taifa star Leo,kwa Nini Kama taifa tusitafute dawa kwanza ya kujitibu huu uwendawazimu( laana aliyotutupia) sijui mzee nani vile.

Kila mechi tunazotakiwa kushinda tunafungwa hii ni aibu aibu,. japo Mimi sio mtaalamu wa Mpira Ila naona hii laana ndo inatuandama.
 
Kuna wanaodhani kushinda ni kumleta kuwa kocha aliyewahi kuchezea timu kubwa duniani, bila kujua kipacji cha kufundisha na cha kucheza ni vitu viwili tofauti
 
Ningekua raisi hawa wachezaji wanarudi kwa roli wakifika Ntwara wanaenda kubangua Coroshow walau kwa siku tatu baada ya hapo wanarudi kwa kichurachura mpk Kibiti hapo ndio watakutana na ndugu zao. Pumbavu sipendi ujinga na ndio maana sijawa raisi.

Ila inauma bhana. [emoji24][emoji24][emoji24]
Tanzania kila kitu ni maumivu hakuna pa kukupa faraja .yaani huku nchale ukigeuka nchale ..
Mna roho ngumu sana kuwa Mashabiki wa Taifa stars .
 
Back
Top Bottom