Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chizi fresh vipSi huwa mnaniona GENTAMYCINE kama vile ' Chizi Fesh ' sasa kuanzia leo mtaniheshimu na kuzingatia yale ninayowaambieni.
Lesoto walikuwa wanachezea uwanja mwingine na Tanzania uwanja mwingine hapo kweli wametufunga sababu ya uwanja Kama wote wamecheza uwanja mmoja wakatufunga tz hatuna timu uwanja usiwe kigezo Cha kupoteza mchezo mkuu tujitathiminiWanajamii ya michezo
Leo Tanzania imepoteza mchezo wake muhimu katika kuelekea kufuzu Afcon
Uwanja uliotumika katika mchezo huu ni tatizo na imechangia kwa kiasi kikubwa sie watanzania kupoteza mchezo huu
Hivi ni kweli lesotho haina kiwanja bora zaidi ya hiki kilichotumika leo au ni figisu tu zimetumika kuiangamiza stars?
Nitachagua Kikosi Cha Kwanza Askari Cheo Cha Koplo TuMwakani tupeleke wana jeshi wakacheze hadi tubebe Kombe AFCON
Kwa hili napo leo tuko pamoja. waTz blah blah nyingi , kwa kifupi uwezo wetu mdogo sana ns hatubadilikimbona tulivyokipiga nao hapa bongo hatukuwafunga?
Mbona mpaka sasa mshindi anafahamika, ujue unashangaza sana mkuu, mi nakupa ukweli daima,
Najua mtaniita sio mzalendo,
Sisi tut ashiriki hayo mashindano kupitia kwa diamond platnumz.
Labda angekiwa anaongelea team nyingine siyo hii stars ya bongo.Soka halipo hivyo😀😀😀😀
Unaweza kuelezea ni kwa jinsi gan CCM inasababisha?Ccm ilizaliwa mwaka 1977 ni zaidi ya miaka 40. Hizo nchi nyingine sijui sababu zao lakini hapa kwetu shida ni ccm.
Unaweza kuelezea ni kwa jinsi gan CCM inasababisha?
Mafundi wa kipemba wanaheshimika sana khasa wale wa kuwafuata hukohuko kisiwani Pemba.
Wao hutoa maagizo tu na ukiyazingatia basi mambo yako yataenda moja kwa moja.