Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Wanajamii ya michezo

Leo Tanzania imepoteza mchezo wake muhimu katika kuelekea kufuzu Afcon

Uwanja uliotumika katika mchezo huu ni tatizo na imechangia kwa kiasi kikubwa sie watanzania kupoteza mchezo huu

Hivi ni kweli lesotho haina kiwanja bora zaidi ya hiki kilichotumika leo au ni figisu tu zimetumika kuiangamiza stars?
 
Wachezaji wa bongo wamecheza mpaka ndondo cup mchangani huko.
Leo ule uwanja uwe kikwazo??

Halafu mbona mengi ya mazoeziyao hufanyia beach kwenye mchanga mwingi??
Tutafute sababu nyingine aisee, ila sio hii.

Labda tumlaumu mganga wa timu kwa kusahau hirizi yake airport.
 
Ule uwanja una tatizo gani, mbona ni kama uhuru!

Na hao Lesotho walikuwa wanatumia uwanja tofauti na wenu?
 
walifanya makusudi, uwanja wa nyasi badia za kiwango cha chini kabisa, wamejaza yale ma rubber uwanjani na kufanya mpira unakosa uelekeo. Mimi ningekuwa FIFA ningepiga marufuku matumizi ya hizi uwanja zenye nyasi bandia. Kwanza kitaalamu zinaua nyonga na viungo nya wachezaji kwa sababu chini kuna zege achilia mbali, matatizo mengine kama tuliyoyaona leo
 
Sisi wa kijani tumeumia sana.
Najua makamanda wanafurahia kimyakimya kufungwa kwetu.
 
Wanajamii ya michezo

Leo Tanzania imepoteza mchezo wake muhimu katika kuelekea kufuzu Afcon

Uwanja uliotumika katika mchezo huu ni tatizo na imechangia kwa kiasi kikubwa sie watanzania kupoteza mchezo huu

Hivi ni kweli lesotho haina kiwanja bora zaidi ya hiki kilichotumika leo au ni figisu tu zimetumika kuiangamiza stars?
Lesoto walikuwa wanachezea uwanja mwingine na Tanzania uwanja mwingine hapo kweli wametufunga sababu ya uwanja Kama wote wamecheza uwanja mmoja wakatufunga tz hatuna timu uwanja usiwe kigezo Cha kupoteza mchezo mkuu tujitathimini
 
Soka halipo hivyo😀😀😀😀
Labda angekiwa anaongelea team nyingine siyo hii stars ya bongo.

Kama si neema ya Mungu leo tulikuwa tunapigwa 3. Ilifika sehemu ikabidi niweke wanyama pori. Kurudi kama hisia zangu zilivyokuwa zinanituma tumeshafungwa dah👹👹

Tujipange kwa best loser.
 
Hata uganda tuwapige goli miambili kama lesotho mchezo wao dhidi ya cape verde ndo imebaki stori kutokana na sheria za CAF wao kwa sababu wametufunga na kutoa sare dhidi yetu kwa hyo wana point 4 Twafa stars point 1. Tujiandae kisaikolojia tu
 
Mafundi wa kipemba wanaheshimika sana khasa wale wa kuwafuata hukohuko kisiwani Pemba.

Wao hutoa maagizo tu na ukiyazingatia basi mambo yako yataenda moja kwa moja.

Tatizo hapa Jamvini tunachukuliana ' poa ' sana. Nimesihindawa Kwenda huko Lesotho ila angalau niliweza Kuipigania Taifa Stars yangu kupitia huyo ' Mtaalam ' na Yeye ndiye aliniambia kuwa ili tupite leo Kikosi kile nilichokiweka jana ndiyo Kianze na Kisibadilke hadi dakika tisini lakini Watu wameenda kutupangia tena kwa Kuwajaribu Wazanzibari wawili akina Ally Sonso na Abdallah Kheri ambao hata ' Nyota ' zao kwa leo zilikuwa na ' Nuksi ' tupu kwanini tusifungwe?
 
Back
Top Bottom