Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Ukisikia muosha huoshwa ndiyo hii! Kilichowatokea Equagorial Guinea kwenye mechi na Tanzania, ndicho kilichotutokea na sisi leo.

Timu ni ya kawaida tu, ila kilichowaponza wachezaji wetu ni kuridhika kirahisi kwa kuongoza kwa goli moja. Wangewaza kuongeza magoli mengi zaidi, mchezo ungeisha mapema sana.
Wacha tu leo tulale na viatu. Ndivyo mpira ulivyo.
 
Mechi ilikuwa yetu kabisa hii
 
Awamu ya 5 inafanya vizuri kweli kweli.Mpaka wapinzani hawapo!!What a shit you are talking you niga?


Pigaaaaaa maccm mashetani hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…