Abdalla mpemba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 657
- 908
Mkweli ni yule aliyesema akwilina kauliwa na wapinzani1-1 penati ya uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkweli ni yule aliyesema akwilina kauliwa na wapinzani1-1 penati ya uongo
YeahSub ya Hassan Kessy imetuua.
Star haguswiSamata ni Mzigo timu ya taifa
Kama yupo jecha ndio ungalikua na uhakikaBado tunaongoza... Libya kwisha habari yake
Samata ni Mzigo timu ya taifa
Mechi ilikuwa yetu kabisa hiiUkisikia muosha huoshwa ndiyo hii! Kilichowatokea Equagorial Guinea kwenye mechi na Tanzania, ndicho kilichotutokea na sisi leo.
Timu ni ya kawaida tu, ila kilichowaponza wachezaji wetu ni kuridhika kirahisi kwa kuongoza kwa goli moja. Wangewaza kuongeza magoli mengi zaidi, mchezo ungeisha mapema sana.
Wacha tu leo tulale na viatu. Ndivyo mpira ulivyo.
Anajituma tu kwenye Club, na hii wachezaji wengi wa kutoka Africa wanayo sana.
Star haguswi
Wao hawana siyasa za chuki tatizoYaani tunafungwa na team hata serikali hawana. Ama kweli amani siyo kila kitu.
Wao hawana kusifia kila kituYaani tunafungwa na team hata serikali hawana. Ama kweli amani siyo kila kitu.