Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Sio wazalendo ni wapuuzi tu ambao hawajui kulipigania taifa
 
Siku hizi watu hawana mapenzi ya dhati na timu.. Wanashangilia mikeka tuu uzalendo Hakuna kabisa.
 
Ningewaelewa atleast wangepata Patulo(draw)... Maana metch ilikuwa yetu ile
 
Huna akili wewe, ccm inakujaje hapo. Kila mtu ana starehe yake, ndio mana wengine tunatoka kuangalia game now , wewe cc tumefurahi vjana walivyopambana , unatuletea tena siasa hapa ? Boya wewe kumm Nma
Lawama zote zielekwezwa kwa maccm
 
Siku hizi watu hawana mapenzi ya dhati na timu.. Wanashangilia mikeka tuu uzalendo Hakuna kabisa.
Kweli kabisa mkuu, yaan hawa wazee wakubeti ndo wanasababisha hizi maana zote, maana huko wanakokaa no mwendo was kuombea mikeka yao na kubinya/kukandamiza pumbu zao mikeka ipumue.. Manina zao
 
Back
Top Bottom