Amekatalia umwenyekiti ona Sasa tunafungwaAnakwamisha sana ujenzi wa flyover pale Mwenge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekatalia umwenyekiti ona Sasa tunafungwaAnakwamisha sana ujenzi wa flyover pale Mwenge.
Umejaa stress. Kajifunze kwanza kuandika halafu urudi.Acha upumbavu nani kakuambia hapa ribya hakuna serkal
State agent
Anaangali kesho yake. Akiumia sababu ya Taifa stars,yeye ndo atakaepata hasara. Kwanza hawalipwi mkwanja mrefu.Ana mapenzi na Genk akija kwenye taifa stars anacheza upuuzi tu
Ribya [emoji3582]Acha upumbavu nani kakuambia hapa ribya hakuna serkal
State agent
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah Aisee hahahahahahahahaUmejaa stress. Kajifunze kwanza kuandika halafu urudi.
Bora hivo wanavijiajiri wenyewe kwani serekali imewaacha mkoni mwaka wa 4 huu hakuna ajira za serekaliSiku hizi watu hawana mapenzi ya dhati na timu.. Wanashangilia mikeka tuu uzalendo Hakuna kabisa.
Hata kupiga chabo sehemu kuangalia Libya inavyoandikwa ulishindwa.Acha upumbavu nani kakuambia hapa ribya hakuna serkal
State agent
INGALIKUA YUPO JECHA INGALIKUA KASHAFUTA ZAMANI KABLA YA WW KUSEMAHivi haiwezekani lile goli la penati kufutwa? Maana ni dhahiri ilikosewa
Mechi zote Msuva ndiye anatengeneza nafasi mara nyingiMsuva hata asipofunga unaona anavyojituma ila siyo huyo mpuuzi
Anaangali kesho yake. Akiumia sababu ya Taifa stars,yeye ndo atakaepata hasara. Kwanza hawalipwi mkwanja mrefu.
Mechi zote Msuva ndiye anatengeneza nafasi mara nyingi
Unaifaham rangi ya kijani vizuri sana. Hongera.Ongezea na rangi ya kijani imetucost,rangi nyekundu huwa inaiadhibu rangi ya kijani popote pale duniani
Nalog off
Yeah anajituma anapambana kwa jasho na damu,Samata anapoteza mpira then anacheka na kutembea kifazaMechi tuliyowafunga Uganda Msuva aling'ara,mechi ya kenya ,mechi ya Misri,mechi ya E.Guinea ,mechi ya leo,Msuva anafaa kuwa captain kuliko Samatta