Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Ila hizo jezi……… ..mmmmmm! Nimejikuta nasikitika baada ya kuona huyo mwenye jezi NYEKUNDU kukosa goli!Namna gani hapa libya wanakosa bao la wazi kabisa baada ya mpira kugonga mwamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hizo jezi……… ..mmmmmm! Nimejikuta nasikitika baada ya kuona huyo mwenye jezi NYEKUNDU kukosa goli!Namna gani hapa libya wanakosa bao la wazi kabisa baada ya mpira kugonga mwamba
Tutafanyaje sasa, inatubidi tu japokua hatupendiIla hizo jezi……… ..mmmmmm! Nimejikuta nasikitika baada ya kuona huyo mwenye jezi NYEKUNDU kukosa goli!
Tanzania anakufa leoIla hizo jezi……… ..mmmmmm! Nimejikuta nasikitika baada ya kuona huyo mwenye jezi NYEKUNDU kukosa goli!
Chek zbc2Nomba Link online kama ipo
Mpira huu wa leo yeyote anaweza kufungwa, libya wamepoteza chance moja adhimu huku tz na sisi tukikosa nafasi mbili za wazi kabisaTanzania anakufa leo
True yeyote anaweza kushinda ila Tanzania naijua maji kupwa maji kujaa hapo watakaza weeee baadae utajionea mwenyewe labda wapambanie drooMpira huu wa leo yeyote anaweza kufungwa, libya wamepoteza chance moja adhimu huku tz na sisi tukikosa nafasi mbili za wazi kabisa
Umeanza mapema hiviTanzania anakufa leo
Tuwekeeni link online nasi tuchekiTrue yeyote anaweza kushinda ila Tanzania naijua maji kupwa maji kujaa hapo watakaza weeee baadae utajionea mwenyewe labda wapambanie droo
jezi ya njano inamikosi, halafu ndugai hajasema chochote kuhusu mechi hii?True yeyote anaweza kushinda ila Tanzania naijua maji kupwa maji kujaa hapo watakaza weeee baadae utajionea mwenyewe labda wapambanie droo
Tanzania anakufa leo
Dk ya 13 nowUmeanza mapema hivi
Mimi sio mchawi ila ni ndo ukweli wenyewe.Umeanza mapema hivi
Tulia uoneWachawi bhana sijui kwanini hawapendi maendeleo