Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Al santu kutoka libya anakosa bao la wazi baada ya kupiga off target
 
Libya wanapata kona hapa dk 10
 
Mpira huu wa leo yeyote anaweza kufungwa, libya wamepoteza chance moja adhimu huku tz na sisi tukikosa nafasi mbili za wazi kabisa
True yeyote anaweza kushinda ila Tanzania naijua maji kupwa maji kujaa hapo watakaza weeee baadae utajionea mwenyewe labda wapambanie droo
 
Juma kaseja kchezewa rafu baada ya kugombania mpira wa kona
 
True yeyote anaweza kushinda ila Tanzania naijua maji kupwa maji kujaa hapo watakaza weeee baadae utajionea mwenyewe labda wapambanie droo
Tuwekeeni link online nasi tucheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…