Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Hawa watakua bado wanaomboleza msiba wa gadafi haiwezekani wakose magoli ya wazi kama haya
 
Bavicha wakiongozwa na Zito wote wanashangilia Libya.
 
[11/19, 10:51 PM] Elli: Link game ya Taifa stars [emoji1489][emoji1489][emoji1489]
[11/19, 10:51 PM] Elli:
 
Libya wanaonekana kuwa na madhara Sana wanapokuja golini kwetu, sisi mpira mwingi tunaucheza Kati Kati na nyuma, Sina hakika Sana kama nimbinu za Mwalimu ila kuna makosa nayaona kwenye eneo laulinzi .
 
Nautuma upepo wa kisulisuli kutoka kanisa la mlima wa Moto uwape magoli mawili taifa stars yapatikane bila dalili
 
vijana wameji tahidi sana pia kuna emprovement kubwa Sana kwenye tim hongera Sana coach 😁
 
Nini kimekufanya useme kuwa Taifa Stars iko vizuri sana? Hebu jibu kwa kina hili swali kisha tuendelee.

Au kwa kuifunga equatorial Guinea 2 kwa 1 ?
Maswali ya kimama humu usilete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…