Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Kona inapigwa kuelekea lango la taifa stars lakini mpira unazuliwa na mlinda mlango juma kaseja
 
Libya wenyewe wachumba tu! Wanatakiwa wagongwe goli zaidi ya 3! Mpaka sasa mambo si mabaya. Wacha tu uchaniwe huo mkeka wako. Hakuna namna. Kila la heri Taifa Stars.
 
Dk ya 33 Samata anachezewa faulo tena na kuipatia faida tanzania kwa kupata faulo,,,msuva anajaribu kuufata mpira ule uliopigwa na mchezaji kutoka libya lakini umekua mwingi na unatoka nje na kusababisha kona kuelekea lango la libya
 
Usianzishe ligi nyingine mzee...suburi kukuche ukabishane vkaoni huko...
For now wacha tuombee ushindi.
Msuva 1=Samata 2 najua wengi watakataa ila linapokuja swala la kupambana asee msuva weka mbali na watoto.
 
Dk ya 33 Samata anachezewa faulo tena na kuipatia faida tanzania kwa kupata faulo,,,msuva anajaribu kuufata mpira ule uliopigwa na mchezaji kutoka libya lakini umekua mwingi na unatoka nje na kusababisha kona kuelekea lango la libya
Safi. Kazi nzuri.
 
Taifa Stars wanacheza show game kisa tu kuongoza kwa goli moja!! Hovyo kabisa. Badala ya kumaliza mchezo mapema kwa kuwashindilia magoli ya kutosha!! Sasa kagoli kamoja si muda wowote ule kanaweza kurudishwa!

Washukuru tu Walibya wenyewe hawako makini. Makosa mi mengi mno kwa safu ya ulinzi na viungo.
 
Nafasi ya wazi hii libya wanaipoteza tena nadhani hii wataijutia haswa kuliko ile ya mwanzo
 
Libta wanapiga shuti kuelekea lango la tz lakini kaseja anafanikiwa kulizuiaaa.... Naaam mpira ni mapumziko
 
Back
Top Bottom