Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Hawa watakua bado wanaomboleza msiba wa gadafi haiwezekani wakose magoli ya wazi kama haya
 
Bavicha wakiongozwa na Zito wote wanashangilia Libya.
 
[11/19, 10:51 PM] Elli: Link game ya Taifa stars [emoji1489][emoji1489][emoji1489]
[11/19, 10:51 PM] Elli:
 
Bavicha wakiongozwa na Zito wote wanashangilia Libya.
Dah
IMG-20191119-WA0041.jpeg
 
Taifa Stars wanacheza show game kisa tu kuongoza kwa goli moja!! Hovyo kabisa. Badala ya kumaliza mchezo mapema kwa kuwashindilia magoli ya kutosha!! Sasa kagoli kamoja si muda wowote ule kanaweza kurudishwa!

Washukuru tu Walibya wenyewe hawako makini. Makosa mi mengi mno kwa safu ya ulinzi na viungo.
Libya wanaonekana kuwa na madhara Sana wanapokuja golini kwetu, sisi mpira mwingi tunaucheza Kati Kati na nyuma, Sina hakika Sana kama nimbinu za Mwalimu ila kuna makosa nayaona kwenye eneo laulinzi .
 
Nautuma upepo wa kisulisuli kutoka kanisa la mlima wa Moto uwape magoli mawili taifa stars yapatikane bila dalili
 
vijana wameji tahidi sana pia kuna emprovement kubwa Sana kwenye tim hongera Sana coach 😁
 
Back
Top Bottom