Www.hesgoal.com nenda mkuu mtanange upo LiveMwenye link inaonesha online atupie basi
@$#"*$9*!:/@#.. IntambulMimi sio mchawi ila ni ndo ukweli wenyewe.
Refa ni mmalawi na mna ugomvi nao na kale kaziwa kwa hiyo wapo 12 uwanjani
@$#"*$9*!:/@#.. IntambulMimi sio mchawi ila ni ndo ukweli wenyewe.
Refa ni mmalawi na mna ugomvi nao na kale kaziwa kwa hiyo wapo 12 uwanjani
Vizuri sana, sikutegemea Libya ndio wako hiviUnajisikiaje hapo ulipo Blaza[emoji41][emoji41][emoji41]
Unakariri eeeh, sasa ngoja ufe njaa mjini hapa daadeqNimeshamuua Mtanzania
Ni rahisi kulata alama za vidole kwenye usajili wa nida japo foleni yake ni kubwa kuliko kupata alama tatu za ushindi kwenye mechi kama hii
Tayari umeshaliwa hapo mkuu.Nimeshamuua Mtanzania
Asante kochaKimenya gem imemkataa Leo
Mechi unaiangalia lakini?Leo tunashinda kwa kishindo hii mechi
Tatizo mnabet kwa mazoea.. Inatakiwa uisome kwanza mechi ndo unatupia mkekaLIBYA ni timu ya kiboya sana.