Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Ni rahisi kupata alama za vidole kwenye usajili wa nida japo foleni yake ni kubwa kuliko kupata alama tatu za ushindi kwenye mechi kama hii
 
Naaam Mpira umeanzaaa katika kipindi cha pili
 
Msuva anajaribu kupiga shuti la mbali lakini golikipa anautoa nje na kua kona,,,,kona haijafanikisha kuzaa matunda ya goli na mpira unaendelea
 
Ni rahisi kulata alama za vidole kwenye usajili wa nida japo foleni yake ni kubwa kuliko kupata alama tatu za ushindi kwenye mechi kama hii

Wangekomaa kuongeza walau goli la pili, matumaini ya ushindi yangekuwa ni makubwa. Ila kwa hili goli moja, wacha tu presha itupande kwa dakika zote 90. Sijajua ni kwa nini mwalimu hajamchezesha kiungo mkabaji mechi ya leo.

Timu ikishambuliwa, kule nyuma kunageuka kuwa jehanamu! Walibya wangekuwa na umakini, wangesharudisha na kuongeza magoli.
 
Dk 51Mabadiliko yanafanyika upande wa tanzania anaingia hasani kesi akichukua nafasi ya kimenya
 
Goli la waazi hili libya wanakosa kizeembe sana ndani ya box lakini.mpira umezuilowa na juma kaseja baada ya mshambuliaji kukosa nafasi ya wazi
 
Nafasi nyingine hii ya wazi kabisa libya wanakosa goli la kibwetere
 
Back
Top Bottom