πππππ umeliwaaHela ya supu keshoView attachment 2254556
Feisal yupo π€£π€£π€£Semeni Tanzania Bara 00 - 2 Algeria π
Ugabdaa sio vibonde ,ila Kwa Mkapa wanafungika!Kuna vibonde watatu kundi letu, tunaweza kupenya...... Uganda nawao wanahaha tu.......tunamwacha Algeria aende sisi vibonde tunauana Niger,Uganda na Tz
Ila tunapowafunga waarabu Kuna wahuni wanatukashifu."Kwa mkapa hatoki mtu" hii ni kauli pendwa inayoweza kufanyiwa kazi na Simba SC pekee
Mmemuweka kama danganya toto tu. Tanzania Bara 00-2 Algeria πFeisal yupo π€£π€£π€£
Kama umeangalia mechi yao ya Nyumbani leo,niwakawaida sanaUgabdaa sio vibonde ,ila Kwa Mkapa wanafungika!
Uwezekano upo maana zinaenda timu mbili! Ukiwaangalia Algeria, tayari wameshafuzu.Kuna matumaini ya kufuzu kweli ? Au tunasindikiza tu?
Tate Mkuu Scars Championship Chukwu emeka OKW BOBAN SUNZU
π€£π€£Hili zigo la Misumari ni letu woteMmemuweka kama danganya toto tu. Tanzania Bara 00-2 Algeria π
Uwezekano upo maana zinaenda timu mbili! Ukiwaangalia Algeria, tayari wameshafuzu.
Kazi itakua ni kwa vibonde watatu (Tanzania, Uganda na Niger) kugombea hiyo nafasi moja iliyobaki! Kwa hiyo atakaye jitutumua, atafuzu. Ila Taifa kufuzu π, labda wakati mwingine.
Yeah, Uganda kutoa sare na Niger kwake nayeye kajivurugia hisabati,Tukimfunga Niger na Uganda hapa taifa halafu twende Entebbe tukachukue sare tunaweza kufuzu na points naneUwezekano upo maana zinaenda timu mbili! Ukiwaangalia Algeria, tayari wameshafuzu.
Kazi itakua ni kwa vibonde watatu (Tanzania, Uganda na Niger) kugombea hiyo nafasi moja iliyobaki! Kwa hiyo atakaye jitutumua, atafuzu. Ila Taifa kufuzu π, labda wakati mwingine.
Kipigo ni sehemu ya Mechi, naamini Taifa Stars itanyanyuka tena