Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Mzamiru hastaili kucheza Simba anampira wa kifaza sana
 
Kuna vibonde watatu kundi letu, tunaweza kupenya...... Uganda nawao wanahaha tu.......tunamwacha Algeria aende sisi vibonde tunauana Niger,Uganda na Tz
Ugabdaa sio vibonde ,ila Kwa Mkapa wanafungika!
 
Kuna matumaini ya kufuzu kweli ? Au tunasindikiza tu?
Tate Mkuu Scars Championship Chukwu emeka OKW BOBAN SUNZU
Uwezekano upo maana zinaenda timu mbili! Ukiwaangalia Algeria, tayari wameshafuzu.

Kazi itakua ni kwa vibonde watatu (Tanzania, Uganda na Niger) kugombea hiyo nafasi moja iliyobaki! Kwa hiyo atakaye jitutumua, atafuzu. Ila Taifa kufuzu πŸ™„, labda wakati mwingine.
 
Hatuna bahati aise
 
Yeah, Uganda kutoa sare na Niger kwake nayeye kajivurugia hisabati,Tukimfunga Niger na Uganda hapa taifa halafu twende Entebbe tukachukue sare tunaweza kufuzu na points nane
 
Taifa stars wachovu.

Hawawezi kuanzisha mpira haraka wa goal kick kwa kutumia walinzi wa pembeni.

Space ya mchezo wao ni wa polepole kupita kiasi hasa kuanzia mstari wa ulinzi na kujikuta wanazibiwa nafasi na timu pinzani.

Line ya mbele ya Taifa stars ya kina Kibu Denis, Mbwana Samatta wamejitahidi, tatizo mpira unapoanza toka back line hawajiamini kutumika kama watia mbinyo bali nao wanabakia kucheza ndani ya 18 yao badala ya kupandisha kwa kasi.

Nini kifanyike? Back line yote ifumuliwe abaki Mohamed Hussein , watafutwe wengine maana upande wa ushambuliaji wapo wapya walioongezwa kama kina George Mpole na wakaweza kufanya majukumu.
 
Back
Top Bottom