Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepangwa kundi jepesi sana! Yaani timu zote tatu anazo cheza nazo, ni tia maji tia maji!Algeria anaweza kufuzu baada ya mechi 4 tu
Si tunajitapa tunaweza acha tupigikeAmepangwa kundi jepesi sana! Yaani timu zote tatu anazo cheza nazo, ni tia maji tia maji!
Samia ana akili kusema tuandae Afcon vinginevyo tutasubiri miaka 40 mingine ili tufuzu 😂Si tunajitapa tunaweza acha tupigike
Timu tunayo ila sio levels za Algeria... wako juu sana tukubaliHapo hatuna timu
Simba ipi tena! Kama ni ile simba ya akina Konde Boy, kwa sasa ni zilipendwa.Simba tukiwafunga waarabu muwe mnatuheshimu
Kuna vibonde watatu kundi letu, tunaweza kupenya...... Uganda nawao wanahaha tu.......tunamwacha Algeria aende sisi vibonde tunauana Niger,Uganda na TzSamia ana akili kusema tuandae Afcon vinginevyo tutasubiri miaka 40 mingine ili tufuzu 😂
Semeni Tanzania Bara 00 - 2 Algeria 😂Full time
Tanzania 00-2 Algeria
MKUU KUNA HAJA GANI YA KUWEKA SUFURI MBILI SI WEKA MOJA TU.Full time
Tanzania 00-2 Algeria