KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Kwenye kuiba kura hatuna mshindani lakini kwenye soka Tanzania ni Aibu kubwa
 
Mpaka sasa yellow card nne kwa Tanzania na nyingi mabeki. Nahisi jamaa wanatafuta chochoro kwa nguvu. Refa game imemshinda
 
hii ngoma mkwasa haiwezi. ni jecha tu ndo anaweza kuthubutu
 
Usiku mwema. huyo mustapha leo sio yeye magoli yote ni yeye
 
Zinarudi jamani
Babu yangu kaniambia matokeo 3-3
Msife moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…