nsabiadipunaga
Member
- Nov 1, 2015
- 26
- 2
Cc tutashinda big brother..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni Simba ila nimesema ninavyodhani ndo ingekuwa, Algeria wamefika sana golini!
Lakini Mkwasa angemuacha Ally Mustafa kwa kuwa sababu kubwa ya Algeria kufika golini sana ni upungufu ktk ulinzi baada ya kadi nyekundu, Mkwasa angeingiza kiungo Mkabaji idadi ya goli zingepungua kidogo!
Kumbe lengo lilikuwa ni kupunguza idadi ya goli za kufungwa?! teh! teh!
Mbona wanachelewa kutuongeza la 6 bhana??
asante tanesco kwa kukata umeme nisiangalie live!
Tumevuna tulichokipanda Tujipange toleo lijalo (sisi mawazo yetu yalikuwa kuifunga Algeria wao Mawazo yao ni Kufuzu Kombe la Dunia)