Kufuzu Quarter Final Caf Cl: tofauti 10 kundi la Simba na Yanga

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu

2.Simba ana mechi na Wydad wakati Yanga ana mechi na Medeama Kwa Mkapa. Wydad. Mgumu kuliko Medeama.

3.Simba ana mechi Ghana ambako Wydad alipasuka Yanga ana mechi na CRB ambao hapa hapa Kwa Mkapa

4. Mashabiki wa Yanga Bado Wana Imani na timu Yao relatively wanajaa Kwa Mkapa

5. Yanga Wana relatively timu nzuri kuliko Simba

6 Tangu msimu uanze Yanga ameshinda mechi kadhaa za kimataifa ikiwemo ya Al merreikh Simba hajashinda mechi yoyote Ile ya kimataifa msimu huu. 2023

Hebu malizieni zingine nne
 
Group la Yanga ni mabingwa watupu ktk league zao wamekutana.

Medeama ~ Ghana 2022/23
Ahly ~Egypt 2022/23
Yanga ~ Tanzania 2022/23
Belouizdad ~ Algeria 2022/23

Hii ulitakiwa uiweke kama fact namba 1 Mkuu.
Hili ni kundi la kifo, ndio maana kundi linaongozwa kwa point chache.
 
Sisi Yanga,tunaingia robo fainali,hakuna ubishi.Muda utasema.
 
S
Sio la kifo hilo.
Umeona kundi la mazembeee kina mamelody
 
Na uongeze kuwa Bingwa wa mwaka huu atatoko katika grupu hili. Magrupu mengine ni wasindikizaji tu.
 
Ulipoandika Wydad ni mgumu kuliko Medeama, ni wazi hufatilii mpira kwasasa. Wydad ni timu iliyoporomoka sana msimu huu, walipoteza mechi tatu mfululizo, wakafungwa hadi na timu ya ovyo kabisa Galaxy. Hata mechi ya Simba jana ilikuwa uzembe wa Simba wenyewe kushindwa kupata matokeo. Kwenye kundi la Simba, ni Asec pekee ndio yupo kwenye form.

Kundi la Yanga hakuna timu mbovu, hao Medeama kule mbele wana balaa sio mchezo, mpira wanaujua na wana spidi sio ya kawaida. Mechi ya marudiano sio nyepesi hivyo unavyofikiria. Hata Belouizdad na Al Ahly watapata tabu kwa hawa Medeama kwenye mechi za marudiano
 
HIi ni ligi ya mabingwa, sasa hivi ndio mnajua!? Mlifikiri huku ni Kitonga cha Shirikisho mkutane tena na akina Marumo?
 
HIi ni ligi ya mabingwa, sasa hivi ndio mnajua!? Mlifikiri huku ni Kitonga cha Shirikisho mkutane tena na akina Marumo?
Kwani we shirikisho hujawahi kucheza?au ni wivu tu kwa kua aliekupasua 5 alifika fainal?
 
Na uongeze kuwa Bingwa wa mwaka huu atatoko katika grupu hili. Magrupu mengine ni wasindikizaji tu.
Nami naongezea.
Mshindi wa kwanza na wa pili wa Kundi A na D ndio watakaocheza NUSU FAINALI.
 
Sema tu hapo ulipoandika Ghana ungebadilisha na kuandika Ivory Coast au Cote d'voire. Ndiko anakotokea Asec Mimosa.
 
Naludia kusema wew Ni mpumbavu na lofa
 

What is relatively kwanza ?
 
Hakuna kundi gumu km LA Mamelodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…