Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,129
- 1,497
Rip boss.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha.Lugha gani hiyo?
Yule ni Hashim Rungwe Spunda mkuu yupo bado ni Mwanasheria
[emoji23] [emoji23] yule Wa kikofia cha FFU ni Dovutwa mzaramo wa kisaraweDaaaaah! Pole kwa ndugu na jamaa zake wa karibu! Kabla sijaiona picha, nilifikiri ni yule ANAYEVAAGA KOFIA! Sijui anatoka mkoa wa Pwani, ambaye huwa anawakaba wapinzani wenzie!
[emoji23] [emoji23] yule Wa kikofia cha FFU ni Dovutwa mzaramo wa kisarawe
yap yule anaevaa kofia ya maafisa GameBila shaka ana mzungumzia Fahmi Tovutwa
Lakini ulielewa alichoandika?Lugha gani hiyo?
Accompany your allegations with evidence plz!Peter passed away because his wife Harumi Hashizume Mziray did not allow him to access treatment
Kuga Mziray hakuwa na matibabu mazuri nchini Japan kwa sababu ya uamuzi wa mke wake. Mkewe Harumi Mziray (Harumi Hashizume Mziray) alikuwa na pesa lakini hakumwokoa. Harumi Mziray aliamua ni bora afe ili apate pesa zaidi.Fanga mpango wa picha wengine tumemsahau
Nabulete habari kamili vipi alikuwa anaumwa?