Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 454
- 1,011
Mungu awape subra na tahfeef... Tahfeef ndio nini?R.I.P
Poleni wafiwa, Allah awape subra na tahfeef kipindi hiki kigumu
Mwarabu hawezi kukariri vineno vya kipogolo na kuvichomeka kwenye mawasiliono yake na Mwarabu mwenzie, kamwe. Mwafrika hajithamini, sijui shida ni nini.
Pole sana wafiwa, jamaa na marafiki. Marehemu alikuwa jasiri, alishindana ubunge na Waziri wa Fedha, Daniel Yona, na mke wa Waziri Mkuu mstaafu, Anna Kilango, mijitu yenye nguvu na mitandao na iliyoshiba mahela ya kukwapua ya serikali. Apumzike kwa amani.