TANZIA Kuga Peter Mziray afariki dunia Hospitali ya Rabininsia. Alikuwa mgombea urais 2010

R.I.P

Poleni wafiwa, Allah awape subra na tahfeef kipindi hiki kigumu
Mungu awape subra na tahfeef... Tahfeef ndio nini?

Mwarabu hawezi kukariri vineno vya kipogolo na kuvichomeka kwenye mawasiliono yake na Mwarabu mwenzie, kamwe. Mwafrika hajithamini, sijui shida ni nini.

Pole sana wafiwa, jamaa na marafiki. Marehemu alikuwa jasiri, alishindana ubunge na Waziri wa Fedha, Daniel Yona, na mke wa Waziri Mkuu mstaafu, Anna Kilango, mijitu yenye nguvu na mitandao na iliyoshiba mahela ya kukwapua ya serikali. Apumzike kwa amani.
 
Hakuna mahala inaonyeshwa alijishirikisha na mambo ya kilimo na ufugaji, na akawa mfano, ni vyeti tuuuu vinapangwa, elimu haikuenda saiti
 
Mkewe alikuwa mjapani?
 
Tahfeef = Nafuu/ahueni; ni kiswahili fasaha kabisa.
Labda unashindwa kuelewa kuwa asilimia kubwa ya maneno ya kiswahili yametokea kwenye lugha ya kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…