Kugonga mwamba kwa Mazungumzo kati ya Viongozi wa ACT-Wazalendo na CHADEMA kuhusu kuungana kwenye Uchaguzi Mkuu na picha halisi ya Uchaguzi Mkuu ujao

Kugonga mwamba kwa Mazungumzo kati ya Viongozi wa ACT-Wazalendo na CHADEMA kuhusu kuungana kwenye Uchaguzi Mkuu na picha halisi ya Uchaguzi Mkuu ujao

Acheni kuokoteza. Kuna mambo mengi ya kiufundi kwa pande zote.

Lazima kwenye mazungumzo kuwe na win - lose situation.

Uzito wa kila upande na analysis inahitajika.

Kila upande unamuhitaji mwenzake kwa namna tofauti. Tuombe wafikie point of Resolution.

Hili la Membe na lissu litapimwa kwa hoja kwa kila upande.

Binafsi napendekeza wapige mchezo wa kombolela ili waje washtukize lala salama. Naishia hapo.

But losers ni ACT-Wazalendo
 
Nani amesema UKAWA imekufa? Imepozi tu subiri mtaona UKAWA MPYA muda si muda.
 
Back
Top Bottom