Kugusana gusana kwa wanandoa sio kwa tendo la ndoa pekee

Kugusana gusana kwa wanandoa sio kwa tendo la ndoa pekee

Shida ya kukaa kwa shemeji bila kazi zaidi kucheza na dada wa kazi baada ya wenye nyumba kutoka
 
Hapa ni kabla ya kumpa marejesho au baada? Toa maelekezo kabisa.
Mbona maelekezo yanajitosheleza au hujui kusoma na kuelewa hadi ueleweshwe?

Wewe anza tu kumshika shika beibe wako bila kukusudia kumdinya, fanya hivyo kila mara utakuja kunishukuru.
 
Back
Top Bottom