Kuhack password ya wi-fi

Kuhack password ya wi-fi

Sawa, nipe mda kidogo
na mimi nakusubiri hapa kwa hamu mkuu, pia naomba unisaidie namna ya ku install sudo package kwenye termux, ninejaribu imegoma, termux nimei grant super user access, ila imegoma kabisa ina nambia
"Ability to run this command as root has been disabled permanently for safety purposes"
 
Sudo packages ni kwa ajili ya kali Linux , kwahyo hakikisha unainstall Kali kwenye termux yako kwanza
 
Nani kakwambia mimi mwanafunzi wa IT?
Mimi ni just normal user niliyepata tobo.
We kwani umetengeneza nini mkuu?
Nani kakwambia mimi mwanafunzi wa IT?
Mimi ni just normal user niliyepata tobo.
We kwani umetengeneza nini mkuu?
Ndio Hapo kwa hyo usisaidie watu kisa Mwanafunzi wa IT watu wengine kila saa kukosoa kosoa
 
image.jpg

Kaka nimekwamia hapa
 
Wanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya muda mfupi.
Kuna wifi moja hapa ina kasi kuanzia mb 8 nna wiki naitumia.
Wakuu jaribuni wifite, ila inafanya kazi kwenye linux tu na kwa commands tu.
Kwenye Termux inapiga kazi pia mkuu
 
How to install wiflite in termux? Android...

Kwanza unabdi U update the package kwnye termux kwa simple commands...

apt update

Ukimaliza fanya ku-upgrade package kwenye termux...

apt upgrade

Hakikiksha una Python au python 2 au python 3 kwenye Termux yako ikiwa install maana Wifite ni python language....
Kama hauna Python then install kwa kurun commands

Kwa python 3 ambayo ndo latest
apt install python-y
ikizingua
pkg install python-y

Au unaweza ukaweka bila hizo Y then ukawa unakubali yes kipind inapomaliza kurun
Mf: apt install python
then ikikuuliza kitu unajibu y

Zamani ilikuwa inapatikana simple kwenye termux ila termux wamezibana sana hizi metasploit application kwa ajili ya Cybersecurity ila Kuna njia nyingi za kuziweka sasa ukishamaliza hizo process hapo juu Nishtue
 
Nitarejea
 
Back
Top Bottom