hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Sawa, nipe mda kidogoYeah nipo tayar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, nipe mda kidogoYeah nipo tayar
achana nae mkuu, kubishana na mjinga utakua mjinga mkuu.Nani kakwambia mimi mwanafunzi wa IT?
Mimi ni just normal user niliyepata tobo.
We kwani umetengeneza nini mkuu?
na mimi nakusubiri hapa kwa hamu mkuu, pia naomba unisaidie namna ya ku install sudo package kwenye termux, ninejaribu imegoma, termux nimei grant super user access, ila imegoma kabisa ina nambiaSawa, nipe mda kidogo
Sudo packages ni kwa ajili ya kali Linux , kwahyo hakikisha unainstall Kali kwenye termux yako kwanzana mimi nakusubiri hapa kwa hamu mkuu, pia naomba unisaidie namna ya ku install sudo package kwenye termux, ninejaribu imegoma, termux nimei grant super user access, ila imegoma kabisa ina nambia
"Ability to run this command as root has been disabled permanently for safety purposes"
nipe maelekezo namna ya kuinstall hiyo kali sasaSudo packages ni kwa ajili ya kali Linux , kwahyo hakikisha unainstall Kali kwenye termux yako kwanza
Nimeelezea hapa full kabisanipe maelekezo namna ya kuinstall hiyo kali sasa
Nani kakwambia mimi mwanafunzi wa IT?
Mimi ni just normal user niliyepata tobo.
We kwani umetengeneza nini mkuu?
Ndio Hapo kwa hyo usisaidie watu kisa Mwanafunzi wa IT watu wengine kila saa kukosoa kosoaNani kakwambia mimi mwanafunzi wa IT?
Mimi ni just normal user niliyepata tobo.
We kwani umetengeneza nini mkuu?
Hapo hujakwama mkuu, kuwa mvumilivu tu hiyo ni hatua inachukua dakika chache tu inaendelea,View attachment 2773422
Kaka nimekwamia hapa
Kuinstall wifite na kuitumia ni somo kubwa mno mkuu, naona mleta Uzi kautelekeza uzi wakenimefanikiwa... sasa nafanyaje ku install wifite..?
Kwa wa Android tuna pita na app ipi ?
Kwenye Termux inapiga kazi pia mkuuWanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya muda mfupi.
Kuna wifi moja hapa ina kasi kuanzia mb 8 nna wiki naitumia.
Wakuu jaribuni wifite, ila inafanya kazi kwenye linux tu na kwa commands tu.
How to install wiflite in termux? Android...Kwenye Termux inapiga kazi pia mkuu
How to install wiflite in termux? Android...
Hata simu mkuu Sema unatakuwa uwe linux Enviroment kufanya kazi za cyber....na kwa simu tunatumia TermuxHii kwenye simu unaweza kutumia au ni PC tu
NitarejeaKwanza unabdi U update the package kwnye termux kwa simple commands...
apt update
Ukimaliza fanya ku-upgrade package kwenye termux...
apt upgrade
Hakikiksha una Python au python 2 au python 3 kwenye Termux yako ikiwa install maana Wifite ni python language....
Kama hauna Python then install kwa kurun commands
Kwa python 3 ambayo ndo latest
apt install python-y
ikizingua
pkg install python-y
Au unaweza ukaweka bila hizo Y then ukawa unakubali yes kipind inapomaliza kurun
Mf: apt install python
then ikikuuliza kitu unajibu y
Zamani ilikuwa inapatikana simple kwenye termux ila termux wamezibana sana hizi metasploit application kwa ajili ya Cybersecurity ila Kuna njia nyingi za kuziweka sasa ukishamaliza hizo process hapo juu Nishtue
PoaNitarejea
Hata simu mkuu Sema unatakuwa uwe linux Enviroment kufanya kazi za cyber....na kwa simu tunatumia Termux