Kuhack password ya wi-fi

Kuhack password ya wi-fi

Tatizo la Wanafunzi wa IT wa kibongo wengi wenu ni majuha,mazwazwa,matahira,mazumbukuku na malimbukeni,wewe unaenda kusoma chuo IT unatoka huko unakuja kuiba password kwa ajili ya Mbs na Gbs ili uingie kusoma umbea wa Mange Kimambi Instagram na Kuwochi Music za kina Mondi,hivi huwa mnaakili timamu kweli?

Wenzio wanaanzisha APPS za kutatua Changamoto kwenye Jamii wanapiga pesa wewe kazi kuwaibia wadogo zako password za Wi-Fi!.

Aiseeeee!
Nothing u posses in ur mind
 
Wanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya muda mfupi.
Kuna wifi moja hapa ina kasi kuanzia mb 8 nna wiki naitumia.
Wakuu jaribuni wifite, ila inafanya kazi kwenye linux tu na kwa commands tu.
Ni vile hawaja configure na kuweka security layers vizuri. Wengi default password zinatumia protocol za zamani which ni rahisi ku havk hata wireshark
But well secured wifi usingepata hiyo kitu, haswa zille ambazo zina welcome page na authetication kutoka kwenye RADIUS server
 
Wanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya muda mfupi.
Kuna wifi moja hapa ina kasi kuanzia mb 8 nna wiki naitumia.
Wakuu jaribuni wifite, ila inafanya kazi kwenye linux tu na kwa commands tu.
Mimi kwenye Desktop yangu ina Windows 2 Windows 11 na Parot Os nitajaribu kuiweka hiyo Wifite kwenye hiyo Parot OS Je kuiweka kwake lazima unatumia Command?au una install kikawaida?

Packages and Binaries:​

wifite​

Wifite is a tool to audit WEP or WPA encrypted wireless networks. It uses aircrack-ng, pyrit, reaver, tshark tools to perform the audit.
This tool is customizable to be automated with only a few arguments and can be trusted to run without supervision.
Installed size: 2.35 MB
How to install: sudo apt install wifite
1731302492034.png

How To Crack WPS And WPA2 WiFi Password With Wifite2 - WiFi Pentesting Video 2023​

View: https://www.youtube.com/watch?v=HfoBfuQfYYA&ab_channel=InfoSecPat
 
Wifite inafanya kazi poah sana kwenye wpa tuu ila wps ni ngumu decrypting the handshake captured 🙁 jaribu fluxion ~ or evil twin attack
 
Back
Top Bottom