Kuhama Chuo TCU

Kuhama Chuo TCU

kitu cha kwanza confirm na ofisi ya dpaa ya chuo unachotaka kuamia kama wana nafasi watakuandikia letter baadaya ya wewe kuwaomba kuamia chuo chao, then hiyo letter unaipeleka tcu kwa ajili ya kuapprove
 
asante mkuu kwa msaada
 
Then ukishaipeleka TCU what next...? Af pia naskia ukihama kunakua na usumbufu kutoka bodi ya mikopo......
 
naomba msaada na kwa wale labda wanahtaji badrsha koz ndan ya hcho chuo process huwaje
 
Then ukishaipeleka TCU what next...? Af pia naskia ukihama kunakua na usumbufu kutoka bodi ya mikopo......

kinachofuata unasubiri wafanye approval ya uamisho wako, uwa inachukua muda mfupi baada ya wao kukamilisha kazi hiyo.
 
ukihama chuo kunauwezekano wa kuhama na mkopo wako?

Uwezekano upo, bt uwa wanasema course utayochukua iwe ni ile ya kipaumbele, Na mkopo uwa unachelewa, sana sana mpaka semister ya pili ndio unaweza kuletewa.

Kwa hiyo uwe na subira kidogo.
 
ukihama chuo kunauwezekano wa kuhama na mkopo wako?

Hapo ni kwenda kuonana na ofisi ya dpaa ndio watakuwa na majibu sahihi ndugu yangu, ila inawezekana na baadhi ya chuo uwa wanaweka tangazo mnapokuwa tayari mmesajiliwa,
baadhi uwa hawabadilishi
 
salam zenu wakuu mimi nimemaliza form six 2014 post zimetoka nimejikuta sua lilikua ni chaguo langu la mwisho ila nilipangwa na chaguo langu la kwanza kuachwa nilipenda kusoma civil...ivyo naomba msaada kama kunaanae jua maujanja ya kuhamia chuo kama udsm
 
bachelor of science in.irrigation and water resources ingeneering ndio koz nliopangiwa
 
Kijana hio course uliopangwa sua ni nzuri kuliko hata civil engineering,ulizia vizur lakin nakwambia kitu cha uhakika
 
salam zenu wakuu mimi nimemaliza form six 2014 post zimetoka nimejikuta sua lilikua ni chaguo langu la mwisho ila nilipangwa na chaguo langu la kwanza kuachwa nilipenda kusoma civil...ivyo naomba msaada kama kunaanae jua maujanja ya kuhamia chuo kama udsm

nenda tcs office zao ukaombe transfer,kwan mm mwenyewe nilichaguliwa mzumbe nikaomba transfer na sasa nipo udsm telecom mwaka wa tatu, so jitahidi ufike kwenye office zao mapema iwezekanavyo!
 
nenda tcs office zao ukaombe transfer,kwan mm mwenyewe nilichaguliwa mzumbe nikaomba transfer na sasa nipo udsm telecom mwaka wa tatu,so jitahidi ufike kwenye office zao mapema iwezekanavyo!

vipi kuhusu mkopo mkuu ulifanikiwa kuhama nao?
 
Back
Top Bottom