mlegatuntu
Member
- Sep 14, 2014
- 8
- 1
Wana jf naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuhama chuo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kitu cha kwanza confirm na ofisi ya dpaa ya chuo unachotaka kuamia kama wana nafasi watakuandikia letter baadaya ya wewe kuwaomba kuamia chuo chao, then hiyo letter unaipeleka tcu kwa ajili ya kuapprove
Then ukishaipeleka TCU what next...? Af pia naskia ukihama kunakua na usumbufu kutoka bodi ya mikopo......
ukihama chuo kunauwezekano wa kuhama na mkopo wako?
ukihama chuo kunauwezekano wa kuhama na mkopo wako?
Wana jf naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuhama chuo
JIFELISHE Tu Kisha Utakuwa Umerahisisha Na Hatimaye Umejihamisha Mwenyewe.
Hapo ni kwenda kuonana na ofisi ya dpaa ndio watakuwa na majibu sahihi ndugu yangu, ila inawezekana na baadhi ya chuo uwa wanaweka tangazo mnapokuwa tayari mmesajiliwa,
baadhi uwa hawabadilishi
salam zenu wakuu mimi nimemaliza form six 2014 post zimetoka nimejikuta sua lilikua ni chaguo langu la mwisho ila nilipangwa na chaguo langu la kwanza kuachwa nilipenda kusoma civil...ivyo naomba msaada kama kunaanae jua maujanja ya kuhamia chuo kama udsm
nenda tcs office zao ukaombe transfer,kwan mm mwenyewe nilichaguliwa mzumbe nikaomba transfer na sasa nipo udsm telecom mwaka wa tatu,so jitahidi ufike kwenye office zao mapema iwezekanavyo!