Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

Mjumbe255

Member
Joined
May 5, 2024
Posts
14
Reaction score
22
Habari wadau,
Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi?

Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
 
Wakati unaomba ajira kama mtumishi barua yako ya maombi ilipitia kwa mwajiri wako?
 
Kwaio changamoto ipo kwa muajiri maana haikupita kwa muajiri kiukweli
Na kwenye matangazo ya kazi mara nyingi husema kabisa kwa waajiriwa wa serikali wapitishe barua zao kwa mwajiri.
 
Kwaio changamoto ipo kwa muajiri maana haikupita kwa muajiri kiukweli
Kama haikupita kwa mwajiri kutakuwa na ugumu, kule watakuterm kama mwajiriwa mpya, ila wakiingiza kwenye system jina lako litaonekana umeshaajiriwa. Na barua yako ya ajira ukishaipata utatakiwa kuiwasilisha kwa mwajiri wako, wewe kama wewe unaona utanasuka?
 
Na kwenye matangazo ya kazi mara nyingi husema kabisa kwa waajiriwa wa serikali wapitishe barua zao kwa mwajir
Kama haikupita kwa mwajiri kutakuwa na ugumu, kule watakuterm kama mwajiriwa mpya, ila wakiingiza kwenye system jina lako litaonekana umeshaajiriwa. Na barua yako ya ajira ukishaipata utatakiwa kuiwasilisha kwa mwajiri wako, wewe kama wewe unaona utanasuka?
Nijaribu kuongea na mkurugenzi kwanza nione kama atanisidiaa
 
Kuna watu mna tamaa sana. Ushamzibia nafasi jobless mmoja hapo
 
Hapo piganisha tu hakuna namna, tamisemi Wanashikilia sana.
 
Ongea na mkurungezi vizuri akufanyie mambo au apitishe barua yako Mkuu
 
Andika barua kwa katibu mkuu utumishi kupitia kwa DED kuomba uhamisho, ambatisha hiyo barua ya ajira mpya.Muone DED ana kwa ana mwambie ukweli nina hakika atapitisha barua yako kisha itume Dodoma kwa katibu mkuu utumishi, subiri ndani ya miezi mitatu hadi mitano utapata uhamisho.
 
Asante kwa muongozo Boss
Andika barua kwa katibu mkuu utumishi kupitia kwa DED kuomba uhamisho, ambatisha hiyo barua ya ajira mpya.Muone DED ana kwa ana mwambie ukweli nina hakika atapitisha barua yako kisha itume Dodoma kwa katibu mkuu utumishi, subiri ndani ya miezi mitatu hadi mitano utapata
 
Back
Top Bottom