Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Matapeli ya DarNdiyo namsikia leo
Wa wapi tena huyo. Maana hawa watawala siku hizi wanatapatapa na wako tayari kuonekana hata na ibilisi ili tu wavutie wapiga kura.Ndiyo namsikia leo
Utamjulia wapi jamaa yangu na wewe unashinda Bagamoyo na Handeni!Ndiyo namsikia leo
Kwenye Tamasha la Pasaka ulitegemea wajae dada poa wa Sinza?Siku hizi mitume na manabii wanajipendekeza sana Ikulu. Hata kwenye lile tamasha la pasaka lililoandaliwa na wasafi walijazana wengi sana huku PM akiwa mgeni rasmi.
Nakubaliana na weweMatapeli ya Dar
Sahihi kabisaWa wapi tena huyo. Maana hawa watawala siku hizi wanatapatapa na wako tayari kuonekana hata na ibilisi ili tu wavutie wapiga kura.
Poa sister anguUtamjulia wapi jamaa yangu na wewe unashinda Bagamoyo na Handeni!
Kijana wa yesu wa mkombo, kimbieni injili za namna hii.Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2953924
Kamtapeli Nani?Matapeli ya Dar
Hakuna muhuni hapoWahuni wakutana kujipongeza na kupeana mbinu za kuendelea kuwapiga Mburura wa Mungu.
Basi Was3ňG3Hakuna muhuni hapo