MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Taifa linawaheshimu waganga wa kienyeji kama yule mzee wa kikombe kule Loliondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhani tena? Padri haitoshi?Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2953924
Hawa waganga njaa tu kwanini hawafanyi miujizaWadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Jina la Bwana lihimidiwe
Lazima watafute majina ya kuwachanganya akili watu ili watoe sadakaKuhani tena? Padri haitoshi?
Namuona Mpango kama kachefuliwa hivi.Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2953924
Hapana kwa kweli niliwaona waliojaa mle. Ni kama walikuwa wanafuturishana.Kwenye Tamasha la Pasaka ulitegemea wajae dada poa wa Sinza?
Hivi kumuona sh ngapi vile?Kiongozi wa kiroho namkubbali sana.
Hata mimi ndio namsikia leo.Ndiyo namsikia leo
Ukiwa na pesa na umaarufu unakaa siti ya mbeleSiku hizi mitume na manabii wanajipendekeza sana Ikulu. Hata kwenye lile tamasha la pasaka lililoandaliwa na wasafi walijazana wengi sana huku PM akiwa mgeni rasmi.
Inasikitisha sanaUtapeli unao idhinishwa na serikali zetu ,leo afrika wananchi wamekuwa watumwa wa dini kupitia watu wanao jiita makuhani,mashehe,watabili,na wachungaji nk.
Kafanya nini?