Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

Kanisani pake pale temboni , Kuna dada Moja anamgahawa mnyatulu kwa kweli hua nacheka
Mzuri Sana ,mama junia

Pendapenda nyie mnaweza katiza mtaniletea majibu
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili imeambatanishwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Jina la Bwana lihimidiwe

View attachment 2953924
Hawa waabudu mashetani na CCM ni kitu kimoja. Kiki za kipuuzi tu, eti Kuhani huyo ni grandmaster la kutupwa
 
I appreciate kuhani mussa, kuna issue ambazo siamini mpaka leo, jinsi nilivyotibika, of course nilikuwa na shida ya usingizi silali usiku kucha, lakini nilipo kwenda kwake mara tatu tu, nikashangaa napata usingizi vizuri mno, simbezi wala kumkebei.
-Mungu amuongeze upako!
 
Siku hizi mitume na manabii wanajipendekeza sana Ikulu. Hata kwenye lile tamasha la pasaka lililoandaliwa na wasafi walijazana wengi sana huku PM akiwa mgeni rasmi.
ila kwenye suala la kuheshimu viongozi wa dini,tuseme tu ukweli viongozi wa watanzania wote wana waheshimu.na wote wana imani . japo wanasema serikali haina dini.ila viongozi wanazo dini.na si jambo baya kumjua MUNGU.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili imeambatanishwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Jina la Bwana lihimidiwe

View attachment 2953924
Yeye watu kumwona wanatoa 100,000/=. Sasa sijui yeye katoa ngapi kumuona Mhe Raisi.?!
 
I appreciate kuhani mussa, kuna issue ambazo siamini mpaka leo, jinsi nilivyotibika, of course nilikuwa na shida ya usingizi silali usiku kucha, lakini nilipo kwenda kwake mara tatu tu, nikashangaa napata usingizi vizuri mno, simbezi wala kumkebei.
-Mungu amuongeze upako!
Mimi binafsi nlikuwa mgumu wa haya makanisa na nlianza kumsikia na kumfwatilia toka akiwa mwenge ila nlikuja kwenda kwake ashahamia temboni sababu ya mambo flani na nashukuru nlifanikiwa na nliona matokeo 100% halijakukuta mpaka likukute ipo nguvu.
 
Back
Top Bottom