Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

ila kwenye suala la kuheshimu viongozi wa dini,tuseme tu ukweli viongozi wa watanzania wote wana waheshimu.na wote wana imani . japo wanasema serikali haina dini.ila viongozi wanazo dini.na si jambo baya kumjua MUNGU.
Sana tena mno ona hapa Mama Samia alimtuma mkuu wa Mkoa Chalamila apeleke sadaka yake kwa Mtume Bulldozer Mwamposya sadaka ya Shukrani kwa Mambo Mungu kamtendea yeye kama Raisi

View: https://youtu.be/YUhN0v_eXwo?si=VgKA9qZHsigVe208
 
ila kwenye suala la kuheshimu viongozi wa dini,tuseme tu ukweli viongozi wa watanzania wote wana waheshimu.na wote wana imani . japo wanasema serikali haina dini.ila viongozi wanazo dini.na si jambo baya kumjua MUNGU.
Tanzania kwa nchi zote Ukanda wa Afrika Mashariki na jumuiya ya Afrika Mashariki hakuna nchi yenye viongozi wakuu wanaheshimu viongozi wa dini kama Tanzania

Mama Samia akiongoza kwenye hilo
 
Muda sio mrefu atatoa unabii juu ya ushindi was kishindo wa mama 2025!

Sio kipilimba kweli.aliechangamka!!?!!?
Sasa Mungu akimwambia asiseme? Kwa kukuogopa wewe au? Yeye anasikiliza Mungu anachomwambia sio yeyote.Mungu akimwambia hivyo atasema na hakuna ubaya.Katimiza alichoambiwa na Mungu
 
Serikali inaangalia nani ana watu wengi ndo inamuweka karibu.

Wasichojali ni kwamba hata shetani ana watu wengi.

Sijasema Nabii Mussa ana uswahiba na shetani
Raisi ni kiongozi wa watu wengi akiwemo Raisi Samia anakutana na viongozi wenzie wenye watu wengi ulitaka aende kukutana na viongozi wenye watu kidogo au akutane na viranja mamonitor wa darasa lenye watu 35? Au ?

Yeye kama Raisi wa watu wengi akikutana na hao wenye watu wengi hata wakinweleza kitu kuwa Raisi wananchi wana hili na hili kalitazame atalitazama sababu anajua huyo kiongozi mwenye watu wengi akiongea awakikisha ya wengi walio chini yake

Yuko sahihi
 
Tupatie hadithi yake tupate kumfahamu kwa kina,although hayo hayana msaada sana.
Pale Sinza lion niliamua kuondoka kwan nilipata mafunuo JINA LA YESU SI KWA AJILI YA KUUWA BALI kuokoa, sasa pale kwa Kuhani mchawi wako asipoacha anakufa eti....sasa unauwaje kwa jina la YESU?
Pili: Je MUNGU anawachukia wachawi kiasi kwamba hataki waishi.....kwamba usimwache mwanamke mchawi aishiii...je mwanaume mchawi....haya ni mambo ya AGANO LA KALE, MUNGU anatupenda sote mchawi, mwizi, mrozari, mlokole ndio maana hatubaguni wooote anatulisha na kutunyeshea mvua
 
Mchawi si wa kumuacha aishi, "yaelekea hili limekukera sana"
-sasa hapa umetupa quiz 🔛
 
Pale Sinza lion niliamua kuondoka kwan nilipata mafunuo JINA LA YESU SI KWA AJILI YA KUUWA BALI kuokoa, sasa pale kwa Kuhani mchawi wako asipoacha anakufa eti....sasa unauwaje kwa jina la YESU?
Pili: Je MUNGU anawachukia wachawi kiasi kwamba hataki waishi.....kwamba usimwache mwanamke mchawi aishiii...je mwanaume mchawi....haya ni mambo ya AGANO LA KALE, MUNGU anatupenda sote mchawi, mwizi, mrozari, mlokole ndio maana hatubaguni wooote anatulisha na kutunyeshea mvua
Kikichokukimbiza uchawi wewe kama sio mchawi ulitoroka nini wakati ni muumini mwema tu kama sio mchawi?
Uliona saa yeyote unakufa unawekwa kwenye jeneza ukakimbia ukaenda makanisa yanayokaa na wachawi kwa amani kama sehemu ya waumini wao .
Kilichokukimbiza uchawi
 
Hawa waganga njaa tu kwanini hawafanyi miujiza
  1. Nchi ikajitambua
  2. Tukaondokana na utegemezi
  3. Wao wakawa donnors badala ya kuwa recepients wa sadaka
  4. Tukaondokana na magonjwa
Akili pana za kuwazua unazo wewe mkuu.
Jamii iliyokuzunguka hauwaambii kitu juu ya hao manabii wa upako.
 
Hawa waganga njaa tu kwanini hawafanyi miujiza
  1. Nchi ikajitambua
  2. Tukaondokana na utegemezi
  3. Wao wakawa donnors badala ya kuwa recepients wa sadaka
  4. Tukaondokana na magonjwa
Kafanye wewe fursa hiyo umeiona changamkia wewe

Sasa fursa uione wewe halafu usukumie wengine kafanye wewe uliyoiona hiyo fursa farisayo na mkubwa asiye na haya

Kafanye wewe
 
Hao unapashwa kuziba masikio mkuu
Haupaswi kuziba masikio,yaani niseme simu yangu iliingia hela kutoka kusikojulikana tena nipo Kanisani then wewe hapa unasema watu wazibe masikio wengine kupiga makofi?

Yaani kwa akili za kawaida kabisa huo ni uwongo lakini wajinga wanaamini
 
Back
Top Bottom