Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Kuna wale wanatoa ushuhuda milioni imeingia mpesa huwa napata shida sana, pesa inaingia from where!!!?Siku hizi manabii walio wengi wamegeuka kuwa machawa wa rais.Kilichotokea kwenye sherehe ya kutimiza miaka 17 ya WRM wengi tulibaki tunashangaa.