Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

Ikulu sidhani ni pahala pa kujipendekeza, ukimuona mtu ikulu ujue kahitajika akaitwa.
Kwa hiyo nani anajipendekeza kwa mwenzie. Maana siku hizi simu zinapigwa sana kwenye ibada zinazofanyika kwa watumishi hao. Badala ya kuendelea na ibada zinageuka siasa.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili imeambatanishwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Jina la Bwana lihimidiwe

View attachment 2953924
This guy can't be kuhani. Huyu ni mpigaji tu. Umeshawahi kujiuliza kwa Nini Kuna influx kubwa sana ya wachaga kuwa wachungaji au mapadre? Kuna fursa huko. Mchaga hafanyi kosa penye fursa. Yuko radhi hata kutooa ilimradi ale Bure i.e mapadre
 
wewe hizo stori za kijiwe, ni nin kilichoondolewa kwenye biblia?
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Tafuta usiwe unasoma maandiko kama gazeti na usipende kulishwa kila kitu bila kuhoji ukiambiwa kuhoji sana ni dhambi.
 
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Tafuta usiwe unasoma maandiko kama gazeti na usipende kulishwa kila kitu bila kuhoji ukiambiwa kuhoji sana ni dhambi.
Wewe unakalia stori za vijiweni, tuwekee hapa hivyo vitabu vilivyoondolewa
HATA KAMA VIMEONDOLEWA VITABU VILIVYOPO VIMEKWAMBIA MUNGU ANACHUKIA WACHAWI ? AU MUNGU ALIWAHI KUKUPA CHAKULA AKAWANYIMA WACHAWI?....Tatizo mmezoea mambo ya kishirikina ndiyo maana mnapenda watumishi wenye pigo za kishirikina....
KANISA GANI UKIENDA KILA MUDA MUDA USHIRIKINA UNATAJWA MARA NYINGI KULIKO JINA LA YESU???...ukienda na mtoto mdogo akirudi kila saa utamsikia akisema MAMA UCHAWI MAAMA...mama eti yule mchawi....badala ya kusema MAMA YESU MAAMA, Mama eti yule YESU atamponya!!!!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili imeambatanishwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Jina la Bwana lihimidiwe

View attachment 2953924
Chaguzi za mwaka 2024 na 2025 zimekwisha kukaribia. CCM inafanya kila iwezalo kujenga ushawishi kwa wafuasi wengi wa hawa mitume na manabii.

Wanatambua wakimwalika mtu kama huyu ikulu katika hafla mbalimbali na kisha akaonekana amepiga picha na watawala basi hiyo itawashawishi waumini wake waone kuwa yeye ni mtu mwenye kuaminika na huduma yake inakubalika hata mbele ya macho ya watawala.

Na katika hali ya kawaida mtu yeyote yule maarufu akiitwa aende ikulu katika hafla yoyote ile ni lazima tu ataitikia wito huo kwa mapenzi mema. Kumbe nyuma yake huwa kuna kuwa mipango ya kimkakati na ya siri ya kutaka kujenga ushawishi wa kisiasa kwa kundi ambalo analiongoza.
 
Wewe unakalia stori za vijiweni, tuwekee hapa hivyo vitabu vilivyoondolewa
HATA KAMA VIMEONDOLEWA VITABU VILIVYOPO VIMEKWAMBIA MUNGU ANACHUKIA WACHAWI ? AU MUNGU ALIWAHI KUKUPA CHAKULA AKAWANYIMA WACHAWI?....Tatizo mmezoea mambo ya kishirikina ndiyo maana mnapenda watumishi wenye pigo za kishirikina....
KANISA GANI UKIENDA KILA MUDA MUDA USHIRIKINA UNATAJWA MARA NYINGI KULIKO JINA LA YESU???...ukienda na mtoto mdogo akirudi kila saa utamsikia akisema MAMA UCHAWI MAAMA...mama eti yule mchawi....badala ya kusema MAMA YESU MAAMA, Mama eti yule YESU atamponya!!!!
Tatizo lako maritina unapenda kuhubiriwa kilaini na kuambiwa vitu vilaini ni lini mungu aliwahi kuwa na ushirika na wachawi na watenda dhambi? Kama mchawi yupo rarhi kuuwa na kutesa basi vivyo hivyo na kwake iwe tafuta kitabu cha enoki kama kipo achei kulishwa matango pori wewe, na sio hicho tuu vipo kibao.
 
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Tafuta usiwe unasoma maandiko kama gazeti na usipende kulishwa kila kitu bila kuhoji ukiambiwa kuhoji sana ni dhambi.
Hilo andiko halihusu kujua Biblia linahusu kujua nini ufanye kupata ufumbuzi wa changamoto fulani. Mfano mtu hana kazi kuna maarifa anatakiwa ajue ili apate cha kumuingizia hela Vinginevyo ataangamia kwa umaskini.Hilo tafsiri yake hasa sio.kujua Biblia na mistari
 
Kuwa na maaarifa tumia maarifa ujue lipi utende lipi usitende, lipi unahubiiiiiiriwa lililosahihi lipi halipo sahilihi; wapi mnapotoshwa wapi hampotoshwi. Kiufupi utumie ubongo wako kufahamu ziada ama kupata kile cha kukunufaisha kwa njiya mbadala katika maisha, HIO NDIO MAANA YA MAARIFA.
 
Siku hizi mitume na manabii wanajipendekeza sana Ikulu. Hata kwenye lile tamasha la pasaka lililoandaliwa na wasafi walijazana wengi sana huku PM akiwa mgeni rasmi.
Boss wengi ni vijana wa ofisi yake.
 
Tatizo lako maritina unapenda kuhubiriwa kilaini na kuambiwa vitu vilaini ni lini mungu aliwahi kuwa na ushirika na wachawi na watenda dhambi? Kama mchawi yupo rarhi kuuwa na kutesa basi vivyo hivyo na kwake iwe tafuta kitabu cha enoki kama kipo achei kulishwa matango pori wewe, na sio hicho tuu vipo kibao.
Enyi wakristo dira yetu ni YESU kristo na sio MUSA,ENOCK au DAUDI...Yesu alikuja kukamilisha yale waliyoyaanzisha wa agano la kale....ndio maana watu agano la kale walioa wake zaidi ya mmoja na walitoa talaka....ila haya mambo YESU alijayakataa....JE TUSHIKE LIPI KWENYE IDADI YA WAKE...la MUSA wake wengi au la YESU mke mmoja?
Narudi kwenye mada hamna ushirika kati ya YESU na wachawi au watenda dhambi ila bado anawapa nafasi ya kujirudi na kubadilika ndio maana anatupa zote siku mpya kujitafakari
HUWEZI KUUWA KWA KUTUMIA JINA LA YESU ....jina la YESU ni kwa ajili ya kuokoa tu.....sasa nakuweka wazi anayeuwa kwa jina la YESU kuna walakani ndani yake juu ya nguvu hasa inayofanya kazi ndani yake
Mchawi hana tofauti na mwizi, muongo, fisadi, mchepukaji wooote twatenda dhambi au uniambie wewe huna dhambi??? KWA KADIRI UTAKAVYOKUWA KIMAFUNUO utagundua jina la YESU haliTumiki kuuwa, kulaani au kufifisha bali kuokoa....otherwise nguvu ifanyayo kazi ndani ya huyo auwaye kwa jina la YESU itafakari sana
 
Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili imeambatanishwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

Jina la Bwana lihimidiwe

View attachment 2953924
Asilimia 85 ya hawa viongoz wa Dini ni nyoka watu hawajui tu. Wanawekwa kuisaidia serikali kutawala
 
Back
Top Bottom