Kwa hiyo nani anajipendekeza kwa mwenzie. Maana siku hizi simu zinapigwa sana kwenye ibada zinazofanyika kwa watumishi hao. Badala ya kuendelea na ibada zinageuka siasa.Ikulu sidhani ni pahala pa kujipendekeza, ukimuona mtu ikulu ujue kahitajika akaitwa.
This guy can't be kuhani. Huyu ni mpigaji tu. Umeshawahi kujiuliza kwa Nini Kuna influx kubwa sana ya wachaga kuwa wachungaji au mapadre? Kuna fursa huko. Mchaga hafanyi kosa penye fursa. Yuko radhi hata kutooa ilimradi ale Bure i.e mapadreWadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2953924
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Tafuta usiwe unasoma maandiko kama gazeti na usipende kulishwa kila kitu bila kuhoji ukiambiwa kuhoji sana ni dhambi.wewe hizo stori za kijiwe, ni nin kilichoondolewa kwenye biblia?
Wewe unakalia stori za vijiweni, tuwekee hapa hivyo vitabu vilivyoondolewawatu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Tafuta usiwe unasoma maandiko kama gazeti na usipende kulishwa kila kitu bila kuhoji ukiambiwa kuhoji sana ni dhambi.
Chaguzi za mwaka 2024 na 2025 zimekwisha kukaribia. CCM inafanya kila iwezalo kujenga ushawishi kwa wafuasi wengi wa hawa mitume na manabii.Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2953924
Tatizo lako maritina unapenda kuhubiriwa kilaini na kuambiwa vitu vilaini ni lini mungu aliwahi kuwa na ushirika na wachawi na watenda dhambi? Kama mchawi yupo rarhi kuuwa na kutesa basi vivyo hivyo na kwake iwe tafuta kitabu cha enoki kama kipo achei kulishwa matango pori wewe, na sio hicho tuu vipo kibao.Wewe unakalia stori za vijiweni, tuwekee hapa hivyo vitabu vilivyoondolewa
HATA KAMA VIMEONDOLEWA VITABU VILIVYOPO VIMEKWAMBIA MUNGU ANACHUKIA WACHAWI ? AU MUNGU ALIWAHI KUKUPA CHAKULA AKAWANYIMA WACHAWI?....Tatizo mmezoea mambo ya kishirikina ndiyo maana mnapenda watumishi wenye pigo za kishirikina....
KANISA GANI UKIENDA KILA MUDA MUDA USHIRIKINA UNATAJWA MARA NYINGI KULIKO JINA LA YESU???...ukienda na mtoto mdogo akirudi kila saa utamsikia akisema MAMA UCHAWI MAAMA...mama eti yule mchawi....badala ya kusema MAMA YESU MAAMA, Mama eti yule YESU atamponya!!!!
Hilo andiko halihusu kujua Biblia linahusu kujua nini ufanye kupata ufumbuzi wa changamoto fulani. Mfano mtu hana kazi kuna maarifa anatakiwa ajue ili apate cha kumuingizia hela Vinginevyo ataangamia kwa umaskini.Hilo tafsiri yake hasa sio.kujua Biblia na mistariwatu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Tafuta usiwe unasoma maandiko kama gazeti na usipende kulishwa kila kitu bila kuhoji ukiambiwa kuhoji sana ni dhambi.
Kuwa na maaarifa tumia maarifa ujue lipi utende lipi usitende, lipi unahubiiiiiiriwa lililosahihi lipi halipo sahilihi; wapi mnapotoshwa wapi hampotoshwi. Kiufupi utumie ubongo wako kufahamu ziada ama kupata kile cha kukunufaisha kwa njiya mbadala katika maisha, HIO NDIO MAANA YA MAARIFA.Hilo andiko halihusu kujua Biblia linahusu kujua nini ufanye kupata ufumbuzi wa changamoto fulani. Mfano mtu hana kazi kuna maarifa anatakiwa ajue ili apate cha kumuingizia hela Vinginevyo ataangamia kwa umaskini.Hilo tafsiri yake hasa sio.kujua Biblia na mistari
Boss wengi ni vijana wa ofisi yake.Siku hizi mitume na manabii wanajipendekeza sana Ikulu. Hata kwenye lile tamasha la pasaka lililoandaliwa na wasafi walijazana wengi sana huku PM akiwa mgeni rasmi.
Enyi wakristo dira yetu ni YESU kristo na sio MUSA,ENOCK au DAUDI...Yesu alikuja kukamilisha yale waliyoyaanzisha wa agano la kale....ndio maana watu agano la kale walioa wake zaidi ya mmoja na walitoa talaka....ila haya mambo YESU alijayakataa....JE TUSHIKE LIPI KWENYE IDADI YA WAKE...la MUSA wake wengi au la YESU mke mmoja?Tatizo lako maritina unapenda kuhubiriwa kilaini na kuambiwa vitu vilaini ni lini mungu aliwahi kuwa na ushirika na wachawi na watenda dhambi? Kama mchawi yupo rarhi kuuwa na kutesa basi vivyo hivyo na kwake iwe tafuta kitabu cha enoki kama kipo achei kulishwa matango pori wewe, na sio hicho tuu vipo kibao.
Asilimia 85 ya hawa viongoz wa Dini ni nyoka watu hawajui tu. Wanawekwa kuisaidia serikali kutawalaWadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili imeambatanishwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Kuhani Mussa mara baada ya hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Jina la Bwana lihimidiwe
View attachment 2953924