Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

UNAJUA MIUNGU WAKO WENGI.
KATIKA AMRI 10 ZA MUNGU, "Usiwe na miungu mingine ila mimi."



US: Presidents ranked from worst to best
 
Acha uchawa wewe, embu jitambue hata kidogo!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app

Usiyejitambua ni wewe unayenipangia kuacha jambo usilolijua
Halafu unaumiaaaa kama umenyang'anywa mke🙄🙄🙄

Jitambue basi!!! Chawa wa kuzimu weee😏
 
Wanaopata uongozi kwa ndumba nao wamepewa na Mungu?

Anza kujilaumu wewe unayemjua Mungu halafu ukashindwa kumuomba ili hao wasipate uongozi kwa ndumba.
Na ndio uache kubeba dini kwa jina bila kujua matumizi yake
 
Huyo kwa sasa ndio anae ongoza kwa RAMLI CHONGANISHI na wanamlinda ila siku zake nazo c nyingi
 
Ingawa Kuhani Musa ni tapeli kama matapeli wengine ila kaongea point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…