LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 252
anawafukuza kazi wote, si wako chini yake bwana! Imefanyika kwa kagame, museveni na hata bingu wa malawi.kwani hawa usalama wa taifa wa nchi yoyote ile wao wanaongozwa au wao ndio wanayoingoza nchi,hivi raisi hata kama akiwa mpinzani atawafanya nn?
jaman, mi naitamani sana hii kaz je, ni hatua zip nipitie na nahitajika kuwa na qualification gani?
Hukumu ya leo imeibua mambo mazito …… shinikizo kutoka Ikulu hasa baada ya kuwa amekataa ombi la mmoja wa viongozi wakuu wa serikali wakati huo la kutaka agombee nafasi hiyo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi kwa ahadi ya kumpa cheo kikubwa……Aliwataja waliomtaarifu kuanguka kwake kuwa ni pamoja …..na ofisa usalama mmoja wa ngazi ya juu (jina linahifadhiwa).
Bwana mdogo hapa Arusha tumechafukwa roho kwa yote mnayoyafanya. Chaguzi ndogo ni point muhimu ……….. CDM kwani dunia inatazama nini tunafanya hasa ukizingatia tunapambana na CCM, MAHAKAMA, POLISI, USALAMA WA TAIFA, TAKUKURU na TUME YA UCHAGUZI.Arusha tumejikomboa kifikra since Azimio la Arusha……..Nyie mna dola, sisi tuna Mungu.
Nawasilisha naomba msaada wenu kujibiwa maswala yangu hapo juu.Kwa kuwa binafsi najiaminisha kuwa Usalama wa Taifa iko kwa ajili ya Taifa na sio kikundi cha watu.Na kuwa majukumu yao ni kutenda na kulinda haki [usalama] isivunje na sio kuingalia haki inavyovunjwa.DSN, idara yetu hii ya Usalama inafanya kazi nzuri sana na yenye maadili kwa ujumla wake, lakini ni ukweli usiopingika kuwa wapo baadhi ya maofisa wake ambao hutumiwa vibaya ama kwa tamaa zao binafsi za fedha, madaraka na baadhi ya viongozi wa nchi, hivyo sio vyema kuionyooshea idara nzima kwa baadhi ya mapungufu.
Pili, wa kuinyooshewa kidole ni sheria inayoiunda Tiss na sio Tiss yenyewe, kwani imenyimwa meno kuwa huru. Panaweza pakawa na jitihada nyingi zinafanywa katika shughuli zao, lakini mwamuzi wa mwisho katika kutia saini ni waziri mwenye dhamana ambaye ni mwanasiasa. Hivyo basi, katika mchakato huu wa katiba, ni vyema tukajadili pia sheria inayounda TISS ili iwe yenye meno na ifanye kazi wananchi waliowatarajia.
Tatu, maswali uliyouliza ni gape lilowekwa makusudi na viongozi, ili gape hilo liwe kichaka cha viongozi kujificha wao na maovu yao, wao na uhujumu wa rasilimali za nchi, wao na nia zao za kutawala nchi na watoto zao. Mfano; Meghji anaweza aseme fedha fulani zilitumika kwa ajili ya usalama wa taifa, hata kama siyo kweli lakini hakuna mwananchi anayeweza kuwahoji Tiss juu ya fedha hizo, na hata Tiss yenyewe hawawezi liongelea hilo hata kama wanajua siyo kweli. Lakini lazima tufahamu pia kuwa, uadilifu huanzia juu ndio uje chini, huwezi niambia mimi niwe mwadilifu ili hali kiongozi wangu anabofya kizenji rasilimali za nchi huku familia yangu inadaiwa dukani kwa mangi....!
Nne, tusitarajie afisa wa tiss aamke siku moja aseme sisi tunafanya hivi au vile, ila katika mchakato huu wa katiba ni sisi wananchi kushauri na kusema tunataka tiss itakayo simamia rasilimali za taifa, tiss itakayo hakikisha kuwa ili mkataba wa uchimbaji madini usainiwe lazima wao waidhinishe kwanza, tiss ambayo itajali raia wake kwanza zaidi ya wageni na mali zao, tiss ambayo itakuwa inaufahamu na kuchukua hatua juu ya hata kiongozi wa nchi aliyekuwapo madarakani au mstaafu, anaweza kuhaatarisha usalama wa taifa na rasilimali zake.
Tano, embu jichukulie wewe (DSN) kwa mfano, ni mwajiriwa kama afisa mdogo tu wa TISS. Unaelekezwa uende kwenye uchaguzi wa ubunge au udiwani sehemu fulani ya nchi, na chakufanya umeambiwa. Swali ndugu DSN, utamakatlia bosi wako huku ukijua huruhusiwi kukataa? Sio kwamba hujui kuwa, bosi wako naye kaambiwa na wake, bosi wake naye kaambiwa na bosi wake, na bosi wake naye kaagizwa na aliyemchagua ambaye anaweza awe ndiye mkuu wa vyote, ulinzi na uslam.
Ni mtazamo tu,
Kibanga Msese
Usalama Wa Taifa: ni kwa ajili ya taifa kama jina lake lilivyo. Kama taifa ndio serikali pekee basi maana itakuwa usalama wa wanaccm na serikali yake. Amua wewe.
Bwana mdogo hapa Arusha tumechafukwa roho kwa yote mnayoyafanya. Chaguzi ndogo ni point muhimu ……….. CDM kwani dunia inatazama nini tunafanya hasa ukizingatia tunapambana na CCM, MAHAKAMA, POLISI, USALAMA WA TAIFA, TAKUKURU na TUME YA UCHAGUZI.Arusha tumejikomboa kifikra since Azimio la Arusha……..Nyie mna dola, sisi tuna Mungu.
Mama Porojo nikigoogle nakumbana na The National Security service of kenya [Bofya hapa].Wenzetu wameweka wazi na kuwafanya umma ujue wazi chombo chake malengo na kazi zake ni zipi.Nimeggogle nimekosa ndio maana nikaomba nisaidiwe.google utakuta majukumu ya TISS yakowazi
.Kwa hiyo kila linalozungumzwa kuhusu usalama wa taifa ni kweli. I wish dunia ya majasusi ingekuwa huru kujibu tungepata taarifa sahihi kutoka upande wao
Goal
"Prompt and quality national intelligence in the service of the people of Kenya."
Vision
"To create, manage and sustain an organisation that is both professional and accountable; founded on firm ethics... "
Mission
"To safeguard the Repubic of Kenya against any threats emenating from within and without
The Intelligence Cycle is the multi-step process by means of which security intelligence is sought, collected, processed and passed on. There are five phases in this cycle:
1) Planning:
The first step in this phase is to determine customer requirements. The Service is guided by its mandate as stated in the NSIS Act, 1998. The requirements are dynamic and change with the prevailing security situation and assessments on anticipated changes. Because of this, the Service is constantly in touch with customers to ensure that requirements are always current and relevant.
Determining customer requirements involves the identification of customer needs as well as translation of requirements into potentially achievable tasks and prioritizing, analyzing, reporting, and monitoring the quality of the product.
Once targets are identified, existing resources are used to gather intelligence but new collection requirements can be drawn depending on the type of information needed for reporting.
2) Collection:
The basic essence of collection is access to the required target. Information from members of the public, friendly governments, and technical operations is combined with information from open sources, including newspapers, periodicals, journals, electronic news media, official documents, and other published material.
3) Exploitation and Processing
This is the conversion of collected information into a form suitable for analysis or the production of intelligence
4) Analysis and Production
This involves analysis, evaluation, translation and interpretation of raw data into finished intelligence.
5) Dissemination
This is the final step of the intelligence cycle and involves passing the finished product i.e. intelligence reports, to the consumers. The quality and relevance of the disseminated reports may lead to re-specification of intelligence collection requirements, thereby completing the cycle.